Mnasema nawachukia lakini mnajitakia

Mnasema nawachukia lakini mnajitakia

Kwanini wanaume wa sikuhizi mkioga wanajisugulia boxer???
Hiv mmepatwa na nini nyie lakini[emoji23] [emoji23]
Hyo mwanaume ulimtolea wapi kwanza

Siku nyingine mpe pichu maana boxer haifikii ulaini Wa pichu!
 
wanakupenda bana mpaka wanakumiss sana huwezi amini mpaka JamiiForums.com walikuwa wanakuulizia uwachambe
 
Hahaaa. Hii ni kali lol.

Hivyo vitakuwa ni vile vivulana lakini mwanaume anayejitambua hawezi ogea boksa ndio sababu walio wengi wanaendaga na pensi tu au taulo tu boksa wanaziacha ndani.

Na hapo hawakosi sijui ndio dodoki sijui mabrashi ya kujisugulia wakati wa kuoga.
 
Back
Top Bottom