Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

Ila kusema uongo mi kumenishinda,japo nikiongea ukweli ndiyo chance ya binadamu kunihukumu...
Sema nini, ukweli ukuweka huru haijalishi watakujudge vp
uwe unadanganya danganya kidogo inasaidia! utakuja kutolewa meno hivihivi sio kila ukweli utakuweka huru ukweli mwengine utakuacha kibogoyo!
 
Kwa hiyo ukiona nina kimbizwa na wauaji ili watoe uhai wangu , nikapata nafasi ya kujificha na wewe umeniona , wakakuuliza nimejificha wapi utasema ukweli?
 
Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.

Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
Hii mkuu unaanza taratibu ukizoea unakua konkod😂😂
 
🤣🤣🤣Nitadanganya eti!?
tena nyie mkija kuanza kudanganya ndio mnakuwaga mafundi haswa!

juzi tu nilibananishwa akili nyengine ati inaniambia sema ukweli nikiuangalia ukweli wenyewe utaniweka sehemu mbaya!, nikasikia sauti nyengine inaniambia acha uzwazwa wewe!.. sikuchelewesha hapohapo nikamchapa uongo huku nimemkazia macho kesi ikawa ndogo akasepa zake!. ningemuambia ukweli risala yake ningekoma..😅
 
Mimi kudanganya naweza,ila mpaka nijipange lakin huwa nashangaa wale ambao unambana pale pale na hakosi neno la kudanganya yaan ni pale pale ashatunga uongo

Hii nilikuwa naiona kipindi tupo wadogo au shule kuna majamaa walikuwa wapo vizur kuwadanganya walimu
 
Yeah Kuna muda unapojielezea sana kwa mtu anakuchukulia poa...
Ila tunajifunza kutokana na makosa
 
Ila kusema uongo mi kumenishinda,japo nikiongea ukweli ndiyo chance ya binadamu kunihukumu...
Sema nini, ukweli ukuweka huru haijalishi watakujudge vp
Kabsaa roho inakuwa nyeupeee Haina makandokando
 
Mimi kudanganya naweza,ila mpaka nijipange lakin huwa nashangaa wale ambao unambana pale pale na hakosi neno la kudanganya yaan ni pale pale ashatunga uongo

Hii nilikuwa naiona kipindi tupo wadogo au shule kuna majamaa walikuwa wapo vizur kuwadanganya walimu
😂Kuna watu ni wamesomea uongo tena wengine naona siku hzi vitoto vidogo, sijui wanajifunza wapi!?.
 
Kwa hiyo ukiona nina kimbizwa na wauaji ili watoe uhai wangu , nikapata nafasi ya kujificha na wewe umeniona , wakakuuliza nimejificha wapi utasema ukweli?
Kama ulibananga mambo tunakutaja tu.
 
Back
Top Bottom