Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nije pm nikuambie nguvu yetu huwa ni nini...??Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.
Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
uwe unadanganya danganya kidogo inasaidia! utakuja kutolewa meno hivihivi sio kila ukweli utakuweka huru ukweli mwengine utakuacha kibogoyo!Ila kusema uongo mi kumenishinda,japo nikiongea ukweli ndiyo chance ya binadamu kunihukumu...
Sema nini, ukweli ukuweka huru haijalishi watakujudge vp
🤣🤣🤣🤣 Mbavu zanguu!uwe unadanganya danganya kidogo inasaidia! utakuja kutolewa meno hivihivi sio kila ukweli utakuweka huru ukweli mwengine utakuacha kibogoyo!
siku ukibanwa vizuri utasema tu!🤣🤣🤣🤣 Mbavu zanguu!
Hii mkuu unaanza taratibu ukizoea unakua konkod😂😂Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.
Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
🤣🤣🤣Nitadanganya eti!?siku ukibanwa vizuri utasema tu!
Sio kwel kwamba jina lako ni to yeye.🤣🤣🤣Nitadanganya eti!?
tena nyie mkija kuanza kudanganya ndio mnakuwaga mafundi haswa!🤣🤣🤣Nitadanganya eti!?
Humu Sheria zinaeleweka mkuu,humu huenda ndiyo au siyo...Sio kwel kwamba jina lako ni to yeye.
Yeah Kuna muda unapojielezea sana kwa mtu anakuchukulia poa...tena nyie mkija kuanza kudanganya ndio mnakuwaga mafundi haswa!
juzi tu nilibananishwa akili nyengine ati inaniambia sema ukweli nikiuangalia ukweli wenyewe utaniweka sehemu mbaya!, nikasikia sauti nyengine inaniambia acha uzwazwa wewe!.. sikuchelewesha hapohapo nikamchapa uongo huku nimemkazia macho kesi ikawa ndogo akasepa zake!. ningemuambia ukweli risala yake ningekoma..😅
😂Kuna watu ni wamesomea uongo tena wengine naona siku hzi vitoto vidogo, sijui wanajifunza wapi!?.Mimi kudanganya naweza,ila mpaka nijipange lakin huwa nashangaa wale ambao unambana pale pale na hakosi neno la kudanganya yaan ni pale pale ashatunga uongo
Hii nilikuwa naiona kipindi tupo wadogo au shule kuna majamaa walikuwa wapo vizur kuwadanganya walimu