Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

Nakupiga sound huku macho yakiwa makavu kabisa😃😃😃
 
imagine mimi janadume la mbegu nikiongea uongo natokwa jasho la kwapa lakini mama mwema mcha mungu naushungi wake macho makavu anasema chama chake kinakubalika asilimia 99 peponi wataendawachache sana
Sisiemu wamekutibua 😀
 
Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.

Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
Kuna mtu kaanzisha uzi anasema Bashir Al-Assad wa Syria hajakimbia Syria kwa kushindwa vita, ameamua tu kuiepusha nchi isiingie katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Baada ya kuiingiza Syria kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka 13!

Yani angekuwa anatetea CCM tungesema labda analipwa, kumtetea Assad kwa uongo huu ni uongo wa tabia tu hata si wa kulipwa.
 
Kumbee eehh!! Huenda hakujua kama Syria wapo kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa muda mrefu.
Na ndo athari ya kusema mambo bila utafiti.
 
Kama CCM tu we huoni wakavuu machoni
😂😂😂 Ila mm naonaga hakuna nchi inayokosa malalamiko kwa utawala wao, wakiingia chadema, CCM nao watalalamika.
 
😂Kuna watu ni wamesomea uongo tena wengine naona siku hzi vitoto vidogo, sijui wanajifunza wapi!?.
Unakuta kitoto cha miaka 3 tayar kinajua kudanganya

Mimi huwa nawaamin sana watoto lakin nilipoanza kuona watoto wa umri huo nao ni waongo nikabak kushangaa
 
😂😂😂 Ila mm naonaga hakuna nchi inayokosa malalamiko kwa utawala wao, wakiingia chadema, CCM nao watalalamika.
CCM Kwa uongo wameota sugu,
Na awamu hii Kwa jinsi ya wanavyomwaga sifa usishangae wakajisahau wakaropoka raisi huyu ni mwanaume wa shoka
 
CCM Kwa uongo wameota sugu,
Na awamu hii Kwa jinsi ya wanavyomwaga sifa usishangae wakajisahau wakaropoka raisi huyu ni mwanaume wa shoka
😀
 
Back
Top Bottom