Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

zachariano alexido

Senior Member
Joined
Mar 10, 2026
Posts
178
Reaction score
460
Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.

Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
 
Hili jambo linani umiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusiowe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.

Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
Hamana anae kulazimisha kichukua ushauri wake kwa lazima ila marriage requires mental maturity, vijana wa 2000, wengi wana mawenge hawawezi ndoa ila ndoa ni muhimu, wewe kama ni wa 2000 na kushauri subiri kuoa mpaka ufikishe miaka 30 angalau kwasbb nyie wa 2000 mnachelewa sana kupata mental maturity, akili nyingi ni betting video game forex nk.
 
Ndoa za sikuhiz zimejaa marumbano daily,mangumi daily,mashindano daily,yan kila siku usuluhishi..,.
Sasa hiyo ni ndoa au mahakama?
SASA ILI TUAMINI MANENO YENU VUNJENI NDOA MRUDI KWENYE UBACHELA, UNAMWAMBIA MTU ASILE CHAKULA NI KIBAYA WE UNAKILA KILA SIKU, KAMA SI UCHOYO HUO, MUQCHE AINGIE AJIONEE
 
Hamana anae kulazimisha kichukua ushauri wake kwa lazima ila marriage requires mental maturity, vijana wa 2000, wengi wana mawenge hawawezi ndoa ila ndoa ni muhimu, wewe kama ni wa 2000 na kushauri subiri kuoa mpaka ufikishe miaka 30 angalau kwasbb nyie wa 2000 mnachelewa sana kupata mental maturity, akili nyingi ni betting video game forex nk.
Mtu anategemea aishi kwa kubeti ataoaje sasa?
 
Unafikiri kuvunja ndoa ni rahisi?
Kuna watoto na mali za pamoja..!!

Wewe sikiliza ushauri, Kama umeyavulia nguo agana na nyonga. Ila usije kusema hukuambiwa..!!
Kuvunja ndoa ni jambo zito sana, hata wanaoachana baada ya miaka kadhaaa ikipita wanapasha viporo, ndoa sio jambo jepesi kuvunjika ni mihemko tu na changamoto za maisha
 
Unafikiri kuvunja ndoa ni rahisi?
Kuna watoto na mali za pamoja..!!

Wewe sikiliza ushauri, Kama umeyavulia nguo agana na nyonga. Ila usije kusema hukuambiwa..!!
Unaonaje tuanzie shilika la kuwawezesha vijana waliofeli form 4!!!?? Maana naona kama akili zao zipo HOVESI (hopeless)
 
Back
Top Bottom