Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Wanandoa hawaachanagi wanapumzishana tu!!Kuvunja ndoa ni jambo zito sana, hata wanaoachana baada ya miaka kadhaaa ikipita wanapasha viporo, ndoa sio jambo jepesi kuvunjika ni mihemko tu na changamoto za maisha
Tena kama wale wenye watoto sio wa kuwaamini kabisaa..!!
Kifo ndo kinawatenganisha..