Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
poa mkuu, sema itabidi ufatilie mahari ni niniUkitaka kujua sio ndoa akufie.
poa mkuu, sema itabidi ufatilie mahari ni niniUkitaka kujua sio ndoa akufie.
LAKINI KWA SISI WAISLAMU, TUNAHOFU MANA KUOA NI LAZIMA KWA KIJANA AU MWANAUME LABDA TU USIWE NA UWEZO KWA WAKATI HIO HIVO TUMEBANWA KISIMANI ZAIDI NA FAMILIA ZETUDuhh ndoa sio jambo jepesi hata kidogo! Sio kitu cha kukimbilia kabisa!! Kama hakuna heshima haifai hata kuwepo!
Wote wana wazazi haijalishi alizaa vipi?Kuzaa watoto kila mmoja ana mama/baba yake unaona no sawa. Mtu ana miaka 35 tu kazaa na wanaume wa kutosha. Unaona sawa eeeh, kweli kizazi cha nyoka hiki.
Maadili yanaanzia ngazi ya familia, sasa kama familia tu mnashindwa kuanzisha, hayo maadili ya kitaifa yanatoka wapi. Huyu yupo kwa baba yule, huyu umeenda ustawi maana halei mtoto, upo Njombe yeye yupo Dar kuna malezi hapo?
Kuna jambo unalitafuta hapa jobless mwenzangu, mimi simo nimechoka kujibizana 😂Hao ni waongo wanafaa kupuuzwa hawataki tufaidi na sisi🥹
Njoo mwaya tufunge ndoa yetu takatifu
Nitakutii✅️
Nitakuheshimu ✅️
Kazi ya kupenda nakuachia 🤗
Kwamba unaniterekeza 😭Kuna jambo unalitafuta hapa jobless mwenzangu, mimi simo nimechoka kujibizana 😂
Mahari ni hati miliki ya bidhaa unayomiliki.poa mkuu, sema itabidi ufatilie mahari ni nini
LAKINI KWA SISI WAISLAMU, TUNAHOFU MANA KUOA NI LAZIMA KWA KIJANA AU MWANAUME LABDA TU USIWE NA UWEZO KWA WAKATI HIO HIVO TUMEBANWA KIIMANI ZAIDI NA FAMILIA NA FAMILIA ZETUDuhh ndoa sio jambo jepesi hata kidogo! Sio kitu cha kukimbilia kabisa!! Kama hakuna heshima haifai hata kuwepo!
Watoto wanatakiwa kulelewa na wazazi wote wawili, unless kuwe na sababu ya msimgi sana. Malezi ya shangazi/mamdogo au mjomba/bamdogo ambaye yupo single na busy na maisha yake wote tunayajua.Wote wana wazazi haijalishi alizaa vipi?
Mbona nyie wanaume mnazaa watoto na wanawake wa kutosha maeneo mabalimbali??
Maadili yanaanzishwa na wazazi wote haijalishi nani kazaa na nani?
Mimi sina mtoto lakini nina watoto ambao wa ndugu zangu naishi nao na nawafundisha maadili. Je, na mimi sistahili sababu sina ndoa au mume wa kuishi naye?
Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukamsikiliza basi ana kudharauHili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.
Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
KWA HIYO HUYO MWANAUME MWENYE AKILI AKINAMBIA ANA MEGWA NA WAHUNI, NISIMSIKILIZE KISA ATANIONA MPUMBAVU, KATI YANGU NA YEYE NANI MPUMBAVU HUJAOMBWA USHAURI UMETOA ALAFU NIKIKUSIKILIZA NIWE MPUMBAVU MIMI AU WEWE NDO MPUMBAVU?Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukamsikiliza basi ana kudharau
Mwez wa nne ukipata jobKuna jambo unalitafuta hapa jobless mwenzangu, mimi simo nimechoka kujibizana 😂
Ukiona umeambiwa maneno /jambo au kupewa ushauri alafu ukakuuma au kupata mfadhaiko wa uchungu moyoni mwako basi ni ukweli mtupu..KWA HIYO HUYO MWANAUME MWENYE AKILI AKINAMBIA ANA MEGWA NA WAHUNI, NISIMSIKILIZE KISA ATANIONA MPUMBAVU, KATI YANGU NA YEYE NANI MPUMBAVU HUJAOMBWA USHAURI UMETOA ALAFU NIKIKUSIKILIZA NIWE MPUMBAVU MIMI AU WEWE NDO MPUMBAVU?
Unawasikiliza wahuni ili uwe na familia yako yenye furaha aisee kaa kwa kutulia tafuta mchumba uvute jiko ukiwasikiliza wahuni utazikwa na mgomba..
Heshimu wawekezaji mkuu sasa kubet na kuoa vinahusiana Nini, 😎Mtu anategemea aishi kwa kubeti ataoaje sasa?