Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

Ukiona umeambiwa maneno /jambo au kupewa ushauri alafu ukakuuma au kupata mfadhaiko wa uchungu moyoni mwako basi ni ukweli mtupu..
NA UKIONA HUJAOMBWA USHAURI ILA UKAJIKUTA UNAANZA KUTOA USHAURI KWA MTU ASIYE NA SHIDA USHAURI WAKO BASI JUA LIMO KICHWANI NA LINA KUSUMBUA SANA UNAJIFICHA WATU WASIKUGUNDUE EITHER KUOGOPA KUCHEKWA AU LAH, HUO NDO UKWELI MTUPU
 
Mahari ni hati miliki ya bidhaa unayomiliki.
Utaishi vipi na mtoto wa mtu bila ridhaa ya wazazi wake?

Wewe unaweza kuruhusu bintiyo awekwe kimada na mwanaume sababu wamekubaliana wao?
kuna ndoa zinafungwa na pande zote hazithamini wala kutambua "mahari" mambo ya utandawazi zaidi
 
Back
Top Bottom