zachariano alexido
Senior Member
- Mar 10, 2026
- 178
- 460
Hamana anae kulazimisha kichukua ushauri wake kwa lazima ila marriage requires mental maturity, vijana wa 2000, wengi wana mawenge hawawezi ndoa ila ndoa ni muhimu, wewe kama ni wa 2000 na kushauri subiri kuoa mpaka ufikishe miaka 30 angalau kwasbb nyie wa 2000 mnachelewa sana kupata mental maturity, akili nyingi ni betting video game forex nk.Hili jambo linani umiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusiowe ilihali yeye yumo kwenye ndoa.
Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
KAMA NI TATIZO KWANINI WASIVUNJE NDOA? KUNA MTU ANAPENDA MATATIZO?Wao wameshaona kuna tatizo hawataki na nyie muingie matatizoni..!!
Au yuko kwenye vita na GwajimaUkiona mtu anakuambia usioe ujue aidha Hana Akili sawasawa. Au umekuona wewe Hamnazo.
SASA ILI TUAMINI MANENO YENU VUNJENI NDOA MRUDI KWENYE UBACHELA, UNAMWAMBIA MTU ASILE CHAKULA NI KIBAYA WE UNAKILA KILA SIKU, KAMA SI UCHOYO HUO, MUQCHE AINGIE AJIONEENdoa za sikuhiz zimejaa marumbano daily,mangumi daily,mashindano daily,yan kila siku usuluhishi..,.
Sasa hiyo ni ndoa au mahakama?
HAHAAAA HI CODE NIMEIELEWAAu yuko kwenye vita na Gwajima
Hakuna kitu sipendi kama kesi aisee😐Ndoa za sikuhiz zimejaa marumbano daily,mangumi daily,mashindano daily,yan kila siku usuluhishi..,.
Sasa hiyo ni ndoa au mahakama?
Mtu anategemea aishi kwa kubeti ataoaje sasa?Hamana anae kulazimisha kichukua ushauri wake kwa lazima ila marriage requires mental maturity, vijana wa 2000, wengi wana mawenge hawawezi ndoa ila ndoa ni muhimu, wewe kama ni wa 2000 na kushauri subiri kuoa mpaka ufikishe miaka 30 angalau kwasbb nyie wa 2000 mnachelewa sana kupata mental maturity, akili nyingi ni betting video game forex nk.
Uwii nimecheka!🤣 kwamba sio riziki?Au yuko kwenye vita na Gwajima
Unafikiri kuvunja ndoa ni rahisi?KAMA NI TATIZO KWANINI WASIVUNJE NDOA? KUNA MTU ANAPENDA MATATIZO?
Huo ukweli mchungu sana, hukupaswa kumwambia mtoto. mtake radhi aiseeee. We ni mtu mbaya sanaUkiona mtu anakuambia usioe ujue aidha Hana Akili sawasawa. Au umekuona wewe Hamnazo.
Kuvunja ndoa ni jambo zito sana, hata wanaoachana baada ya miaka kadhaaa ikipita wanapasha viporo, ndoa sio jambo jepesi kuvunjika ni mihemko tu na changamoto za maishaUnafikiri kuvunja ndoa ni rahisi?
Kuna watoto na mali za pamoja..!!
Wewe sikiliza ushauri, Kama umeyavulia nguo agana na nyonga. Ila usije kusema hukuambiwa..!!
Hawataki wafirisike. Au hujui mkiachana mnagawana mali?KAMA NI TATIZO KWANINI WASIVUNJE NDOA? KUNA MTU ANAPENDA MATATIZO?
Unaonaje tuanzie shilika la kuwawezesha vijana waliofeli form 4!!!?? Maana naona kama akili zao zipo HOVESI (hopeless)Unafikiri kuvunja ndoa ni rahisi?
Kuna watoto na mali za pamoja..!!
Wewe sikiliza ushauri, Kama umeyavulia nguo agana na nyonga. Ila usije kusema hukuambiwa..!!