Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

Kabisa mkuu wafanye usawa Hii nchi ni yawote
Unajua mkuu?
Elimu daraja la kwanza wanapewa watoto wao na wasaidizi wanapeea daraja la kati kisha St kayumba wanapewa wananchi ambao wanapaswa kutawaliwa...

Unapopika chakula usichoweza hata kukionja ni rahisi kuwaua wengine kwa sumu iliyomo humo. Je Waziri wa Elimu Prof. Mkenda watoto wake wanasoma shule gani?
 
Private Tena nje kabisa mkuu
Nadhani unaielewa sasa hoja yangu.
Wapuuzi waliopo madarakani kuanzia juu hadi Mtendaji wa Kata wanasomesha watoto wao nje ya mfumo wa serikali yaani hawasomi shule za umma.

Unategemea matatizo kama aliyotuachia Maharage Chande na Kipara yataisha kweli? Kubomoa ni rahisi kuliko kujenga. Angalia mama alivyoibomoa nchi sijui itajengwaje upya
 
Una-expect nini kwenye Jamii ya Kibinadamu inayoamini hata Muumba wao ana Upendeleo (kwamba kuna wapendwa zaidi ya wengine) In short hii ni kuandaliwa ili matabaka fulani yaweze kunyonya matabaka mengine na kuonyesha kwamba its okay.....

System yoyote inayoendeshwa na Bin Adam its susceptible to Corruption
 
Tumekosa watoto wa maskini wengi sio Mimi pekee, alafu we shoga Kaa pembeni uelewi CHOCHOTE kuhusu hustler, tuliza mkuundu umsubilie bahasha wako
Ni hivi, hata ungepata ungefukuzwa tu kwa sababu huna nidhamu.

Sasa JKT alienda kufanya nini kama nidhamu huna?😃
 
Ahahahah
Mtamkumbuka Kikwete.
Shetani la ukosefu wa ajira hapa nchi lilikuja na Magufuli. Samia anajitahidi kuajiri lakini Ngoma ngumu maana ana ummati wa vijana wa jiwe na vijana waliohitimu katika uongozi wake.
Magufuli kaharibu nchi ingawa wajinga humwabudu kila siku.
Mtanyooka mbona.
Kipindi cha Kikwete polisi, Magereza au fire wakija kuandikisha vijana jkt ili wawaajiri vijana tulikuwa tunakimbia . Leo hii hata sungusungu wakienda kuandikisha vijana jkt vijana watauana
Nadhan hata akili yako kuwazua mambo ni ndogo sana, nawaomba katika ukoo wenu wasikupe nafasi kuchangia mada bora wakutume ukachunge mbuzi.

Wakati kikwete anatoka madarakani kozi yetu ya degree tulikuwa tunahitimu watu 35 tu tulikuwa darasani. Kozi hiyo hiyo leo wanahitimu watu 200+

Watu wameongezeka, wahitimu wameshoot double nafasi za ajira zinazidi kuwa chache hasa ukizingatia matumizi ya technology.

Kama una cheti fake wewe pambana nacho na si kutusi baba wa watu hapa
 
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
Misguided youth
 
Wanachukua kimya kimya ndo mfumo wao ukisikia wanatangaza usahili washamaliza
Unapotosha ndugu. Ila nakuelewa kwa vile unapitia wakati mgumu na ulitegemea upate ahueni kupitia jeshi.

Uhitaji ni mkubwa sana nchi nzima, ni ngumu kufanya upendeleo kwa watoto wa wakubwa tu nchi nzima.
 
Ahahahah
Mtamkumbuka Kikwete.
Hivi unajua hili tatizo la ukosefu wa ajira limeanza lini na linaanza vipi au unadhani unaamka asubuhi ajira zipo kesho hazipo ? Ni muendelezo wa Sera mbovu toka hapo nyuma zinazozidi kuwa mbovu kila kukicha hivyo kesho kuwa mbaya kuliko leo
Shetani la ukosefu wa ajira hapa nchi lilikuja na Magufuli. Samia anajitahidi kuajiri lakini Ngoma ngumu maana ana ummati wa vijana wa jiwe na vijana waliohitimu katika uongozi wake.
Anajitahidi kuajiri ukimaanisha nini ? Yeye pale kazi yake nini kama hawezi kutunga Sera za kuleta ajira zenye ujira apishe...; Unaongelea kujitahidi wakati umeme wa mgao (bila nishati unategemea nini) ? Unategemea watu wapate ujira wakati masoko ya bidhaa zao (wakulima hazipo); Unategemea watu wapate ajira wakati sera ni kwamba hakuna tunachoweza hivyo tugawe kila kitu kwa wawekezaji ili watu watu wawe wachuuzi wa so called wawekezaji (tugawa ajira ughaibuni); Unategemea watu wapate ujira wakati ni Serikali ya walafi wanaongeza matozo hadi watu wa huduma za fedha (mpesa et al) wamepunguza mapato ?; Unategemea watu wapate ujira wakati Bei ya Bundle kwa upuuzi wa TCRA haishikiki (watu watatengeza content vipi wakati Bundle Gharama) ?
Magufuli kaharibu nchi ingawa wajinga humwabudu kila siku.
Mtanyooka mbona.
Magufuli yupo wapi ? Angalau ungeweza kusema jamaa alikuwa na vision (be it implementation yake ilikuwa na walakini) angalau ujenzi wa miradi ulionekana, angalau alitwambia kwamba Bwawa likiisha nikishati (overhead ya maana sana itashuka bei) huyu wa sasa future ni ipi au ni bora liende ? Wakati JPM alitumia mabavu kuminya demokrasia huyu anatumia rupia kwenye udhia (mbaya zaidi rupia hio ni Kodi zetu)
Kipindi cha Kikwete polisi, Magereza au fire wakija kuandikisha vijana jkt ili wawaajiri vijana tulikuwa tunakimbia . Leo hii hata sungusungu wakienda kuandikisha vijana jkt vijana watauana
Unadhani kwa nini ?; Ndio hivyo nakwambia uzipoziba ufa utajenga ukuta huu ufa umeanza kutokea kitambo na sasa hivi unazidi sio tu tutahitaji kujenga ukuta bali nyumba au mji mzima....; Ukizingatia tupo at the cross roads Jeshi, Magereza n.k. haliitaji tena nguvu kazi kama zamani..., afadhali kipindi cha JPM aliwaambia hao Jeshi waende kuzalisha maharage huko (huenda wakati tunalalamika sasa hivi kwa kukosa umeme kwa mgao tungekuwa tunashiba maharage ya bei nafuu)
 
Mkuu, pole Sana ila jifunze kuona positive katika kila negative .

Ili ufanikiwe unahitaji kuwa na positive thoughts 24/7 ur time is on the way

Then Kama upo below 35 yrs jitahidi ufanye self-investment ikiwemo kutafuta,career nzuri ambayo utazeeka,nayo don't be trapped by politicians.
 
Back
Top Bottom