Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Hapa ninampima tu. Hayupo sawa.Samehe mkuu, kuna situation ukikutana nazo maishani unaweza kuwa mtu wa ajabu. (binafsi namuelewa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ninampima tu. Hayupo sawa.Samehe mkuu, kuna situation ukikutana nazo maishani unaweza kuwa mtu wa ajabu. (binafsi namuelewa)
Ndio maana tunasema nyie watu ni matahira.Nadhan hata akili yako kuwazua mambo ni ndogo sana, nawaomba katika ukoo wenu wasikupe nafasi kuchangia mada bora wakutume ukachunge mbuzi.
Wakati kikwete anatoka madarakani kozi yetu ya degree tulikuwa tunahitimu watu 35 tu tulikuwa darasani. Kozi hiyo hiyo leo wanahitimu watu 200+
Watu wameongezeka, wahitimu wameshoot double nafasi za ajira zinazidi kuwa chache hasa ukizingatia matumizi ya technology.
Kama una cheti fake wewe pambana nacho na si kutusi baba wa watu hapa
Unalinda mtaa wako ndo kujiajiri huko.Uliyepitia jkt unajiajiri vipi? Wasiongeze uhalifu mtaani tu hawa viongozi!
😂😂😂aiseeUnalinda mtaa wako ndo kujiajiri huko.
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
Ugumu wa maisha mkuu.Ni kwamba Jeshi limekuwa mdebwedo sana ama wanajeshi ndio hawana kazi za kufanya? maana naona watu wanagombania sana kuingiamo
Very deep.Mkuu, pole Sana ila jifunze kuona positive katika kila negative .
Ili ufanikiwe unahitaji kuwa na positive thoughts 24/7 ur time is on the way
Then Kama upo below 35 yrs jitahidi ufanye self-investment ikiwemo kutafuta,career nzuri ambayo utazeeka,nayo don't be trapped by politicians.
Una akili sana, kama ni ke njoo pm tutafte mtoto pamoja tuepuke kuzaa kizazi cha mleta mada.JKT lengo lake kubwa sio kutoa ajira bali ni kumjenga kijana kwa kumpa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama, kumfundisha kazi na ukakamavu haya ya kutumika kama chujio la ajira ni secondary aims Kama vile ambavyo lengo la elimu ni kutoa ujinga na sio ajira, Ajira itakuja baada ya kutoa ujinga.
Cha msingi unapokuwa JKT jaribu kuigeuza kama fursa kwako fanya kazi, kuwa mbunifu, acha uvivu na kufuata mkumbo, kuwa mdadisi show them why they have to take you utapata tu hizo nafasi tena nafasi nzuri tu mkuu, Wako vijana wenye uthubutu na ambao wapo vizuri upstairs Serikali inawahitaji hasa kwenye kada za ulinzi na usalama.
Tatizo letu huwa tunakumbuka shuka na kushakucha ingawaje sipingi kuwa connection zipo na hii ni kila sehemu kwenye kila sector ndio mfumo wa dunia mkuu.
All in all usikate tamaa omba kila nafasi zikitoka na mtangulize Mungu.
Siku hizi JWTZ wamekuwa kama tawi la ccm.Wanachukua kimya kimya ndo mfumo wao ukisikia wanatangaza usahili washamaliza
Sawa, Futa hiyo quoteShukran san Ndugu yangu 🙏🙏
Wewe ndo akili yako kuwazua ndio ndogo kipindi cha magu alikua haajili kabisa kwa mfano walimu hakuajiri kabisa takribani miaka mitano.Nadhan hata akili yako kuwazua mambo ni ndogo sana, nawaomba katika ukoo wenu wasikupe nafasi kuchangia mada bora wakutume ukachunge mbuzi.
Wakati kikwete anatoka madarakani kozi yetu ya degree tulikuwa tunahitimu watu 35 tu tulikuwa darasani. Kozi hiyo hiyo leo wanahitimu watu 200+
Watu wameongezeka, wahitimu wameshoot double nafasi za ajira zinazidi kuwa chache hasa ukizingatia matumizi ya technology.
Kama una cheti fake wewe pambana nacho na si kutusi baba wa watu hapa
Unaongea Ivyo upo kwenu unagombania chai hustler mnaona kama wajinga
Mkuu JKT sio ajira ndio maana JWTZ inajitegemea. Na kutoka JKT sio lazima uende JWTZ kuna vitengo vingi vya usalama. JKT wanapewa kipaombele kwa kuwa wana utayari wa mwili hawahitaji mafunzi zaidi ya kozi husika. Ukisikia mtu yupo JWTZ na hajapita JKT sio ajabu hiyo ni kichwa inahitajika, Mie nimefanya kazi Kambi ya jeshi na sikuwa mwanajeshi na JKT nilikacha kipindi kile cha mujibu ila kwa kuwa wakati wa field zangu niliacha jina walinitafuta nikala shavu. Walipotaka kunifanya soja ndio kiliumana nikasepa maana hiyo kazi na mie ni mbingu na ardhi.Unaongea Ivyo upo kwenu unagombania chai hustler mnaona kama wajinga
[emoji847][emoji847][emoji847], aisee mgome kwenda Sasa ,akili zitawakaaa sawaAcheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
Pole mkuu wengi wakirudi kitaa wanapaniki sana mana ni mda mrefu unakuwa umepoteaNIMELUDI nipo kama zoba TU apa sielewi
Kwanza unapoongelea kada za ulinzi na usalama ni lazima ujue utaratibu wa hizo kada zinavyofanya kazi.Kwahiyo mtu wa ulinzi na usalama akipita JKT ndiyo anakuwa bora zaidi?
Hujui kuna vijana ambao hawakwenda huko JKT lakini wana vipawa vikubwa vya masuala ya ulinzi na usalama?
Kwani ukimuajiri kijana kutoka mtaani ukampa hayo mafunzo ya ulinzi na usalama hawezi kuwa bora?