Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

Mbona mnanitisha
Mwaka huu nina mpango wa kuelekea huko. Vip niende Ama nikae mkao wa kuvunga
Nenda tu mkuu ila zingatia baada ya kumaliza kozi nafasi zikitoka zozote omba iwe ni uhamiaji, magereza, JWTZ, Zimamoto na Uokoaji au polisi wewe omba huwezi jua bahati yako ipo upande gani shida wengi huwa wanataka JWTZ na wanapuuza majeshi mengine.
 
Wewe dogo kwa lugha yako hio hutakiwi kuwa hata sungusungu nalipongeza jeshi kwa kumrudisha kwao huyu dogo.
Hatokua na mchango wowote jeshini na hizo bange zako bora uvutie mtaani kwenu.
Ni kumsamehe tuu, napendekeza vijana wanao toboa mikataba NS wawe wanapewa counselling maana hii inawaathiri sana sana.
 
Sitetei uhuni unaofanywa lakini HIYO YA KUSEMA MNATUCHUKUA KWENDA KUTULIMISHA JKT binafsi naona siyo kweli maana kule mmeenda kwa hiari yenu wenyewe tena kwa kusaini kabisa HUKU MKIJUA KUNA KUPATA NA KUKOSA
 
Ndio maana tunasema nyie watu ni matahira.
Magufuli ndani ya miaka 7 ya uongozi wake kaajiri idadi ya vijana sawa na mwaka mmoja wa Rais Samia.
Bado mnaendelea kumwabudu huyo aliyeua uchumi wa nchi.
Nyie ndio mnaosema sasa huduma za afya ni ngumu na haiwezekani kutolrwa bure kwa wananchi kwakuwa wananchi sasa ni wengi ukilinganisha na 1970 ambao huduma zilikuwa Bora na bure
Narudia reasoning yako inasoma negative, jitahidi sana kula mafuta ya samaki (omega three), japo inaonekana umedumaa kabisa huwez kuwa boosted anymore

Magufuli alikuwa anapanga uchumi, kisha afanye kinachofuata, haya mambo ya kufanya kiila kitu bila vipao mbele ndio vinasababisha taifa linapiga mark Time.

By the way ukosefu wa ajira ni tatizo la Dunia, wenzetu Nigeria warusha nyimbo wengi mitaani wana Masters, pamoja na kwamba hawakuwa na Magufuli.

Serikali makini inatakiwa kuweka mazimgira rafiki kwa vijana kujiajiri sio kuwaajiri. Haitaweza.
 
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila posho siulikula mzee
 
Ujuzi upo mkuu kule si kuna range mnalenga shabaha, kwata, unafundishwa kutumia silaha japo ni basic tu, kuna vitengo mbalimbali unaweza jifundisha ufundi wa magari au ujenzi n.k
Lengo langu ni kuwa kwenye kila kitu iwe kinaonekana kidogo mbele za watu wewe kigeuze kuwa fursa mfano mnaenda range msikilize kamanda vizuri kisha lenga shabaha zako kwa usahihi na usihishie hapo muulize maswali ni jinsi gani unaweza kuwa bora katika ulengaji shabaha hiyo itamfanya akuone kwanza unajiamini pili unataka kujifunza kumbuka hao makamanda ambao mpo nao kila siku ndio wanaajira zenu hasa hasa hao ma staff sergeant mpka luten .
Unaongelea jkt ya kwenye makaratasi hujui kitu ww
 
Back
Top Bottom