Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

Taasisi yeyote ikishaunganishwa na CCM haya ndio matokeo yake, rudi nyuma kwenye majaribio ya mapinduzi ya 60's na 80's pamoja na vimbwanga vya TANU YOUTH LEAGUE hapo ndipo maamuzi ya kijuha yalipoanzia.

Pole mtoa mada, kosa si lako na wanaokukosoa kwa kuleta mifumo yao hawajui maumivu yako.
 
Hivi unajua hili tatizo la ukosefu wa ajira limeanza lini na linaanza vipi au unadhani unaamka asubuhi ajira zipo kesho hazipo ? Ni muendelezo wa Sera mbovu toka hapo nyuma zinazozidi kuwa mbovu kila kukicha hivyo kesho kuwa mbaya kuliko leo

Anajitahidi kuajiri ukimaanisha nini ? Yeye pale kazi yake nini kama hawezi kutunga Sera za kuleta ajira zenye ujira apishe...; Unaongelea kujitahidi wakati umeme wa mgao (bila nishati unategemea nini) ? Unategemea watu wapate ujira wakati masoko ya bidhaa zao (wakulima hazipo); Unategemea watu wapate ajira wakati sera ni kwamba hakuna tunachoweza hivyo tugawe kila kitu kwa wawekezaji ili watu watu wawe wachuuzi wa so called wawekezaji (tugawa ajira ughaibuni); Unategemea watu wapate ujira wakati ni Serikali ya walafi wanaongeza matozo hadi watu wa huduma za fedha (mpesa et al) wamepunguza mapato ?; Unategemea watu wapate ujira wakati Bei ya Bundle kwa upuuzi wa TCRA haishikiki (watu watatengeza content vipi wakati Bundle Gharama) ?

Magufuli yupo wapi ? Angalau ungeweza kusema jamaa alikuwa na vision (be it implementation yake ilikuwa na walakini) angalau ujenzi wa miradi ulionekana, angalau alitwambia kwamba Bwawa likiisha nikishati (overhead ya maana sana itashuka bei) huyu wa sasa future ni ipi au ni bora liende ? Wakati JPM alitumia mabavu kuminya demokrasia huyu anatumia rupia kwenye udhia (mbaya zaidi rupia hio ni Kodi zetu)

Unadhani kwa nini ?; Ndio hivyo nakwambia uzipoziba ufa utajenga ukuta huu ufa umeanza kutokea kitambo na sasa hivi unazidi sio tu tutahitaji kujenga ukuta bali nyumba au mji mzima....; Ukizingatia tupo at the cross roads Jeshi, Magereza n.k. haliitaji tena nguvu kazi kama zamani..., afadhali kipindi cha JPM aliwaambia hao Jeshi waende kuzalisha maharage huko (huenda wakati tunalalamika sasa hivi kwa kukosa umeme kwa mgao tungekuwa tunashiba maharage ya bei nafuu)
Punguza hekaya na siamba nyingi.
Maelezo yako yana samjo samjo nyingi mno, nenda jumlisha jumla ya thamani ya miradi yote SGR,Busisi Bridge,Bwawa na kadhalika, ni mapesa yasio ya kawaida ila hakuna mradi umesimama, so Mama naye apewe sifa yake.
 
Wewe endelea kutoa sifa wakati hakuna kinachofanyika..., Hizo ni Kodi na Mikopo ambayo italipwa vizazi na vizazi..., Kwa sasa pesa inakopwa na matozo tunatozwa lakini hakuna value for money na transparency sababu hakuna hatujui hizo pesa zinakwenda wapi wala kufanya nini...

Wewe endelea kutoa sifa na kama unaona mambo yapo sawa basi nadhani standard zako ni lower than average....

Kwahio ulitaka JPM ahukumiwe kwenye miradi aliyoianzisha na imeshindwa kuisha baada ya kifo chake ? Na hizi Pumba kwamba Mradi ni wa Samia au JPM ndio matatizo haya yanatokea..... JPM alisimamia Bwawa na kipindi yupo tuliona kasi inaendelea to finish line sasa hivi ni mambo ya kufikirika ya kila siku kwamba hiki au kile kitafanyika tunachoendelea kulishana porojo Ni Pesa ngapi alitumia Makamba ati anasuka Tanesco upya na huo usukaji umetufikisha wapi ?
 
Ndio maana nakuambia mboyoyo mingi sana, insha yote hiyo lakini macro economics inakupiga chenga.
 
Wewe ambaye haukipigi chenga na uongozi wa hii Awamu umesaidia vipi taifa ? Unataka kuleta complications wakati vitu vipo wazi ukija ground na back to basics hakuna kinachofanyika, hakuna value for money wala vision yoyote zaidi ya kutumia kodi za wananchi na kuendeleza maigizo (ambayo inaonekana wewe unayakubali)

Huitaji kuwa a rocket scientist kuona kwamba kinachoendelea sasa ni ukosefu wa sera na utendaji mbovu, watu wapo busy kuwekeza kwenye keeping up the appearances...; Hivi unadhani delegation moja inayokwenda kutalii huko ughaibuni inatumia kiasi gani na hio pesa ingeweza kufanya mangapi ? Kila wakirudi wanakuja na ngonjera za mara kuleta mabasi ya umeme mara kuanzisha satellite basi tu hawakosi cha kusema... Ukiuliza mnafanya nini watakwambia madarasa ya COVID ambayo walitwambia ilikuwa haipo lakini mara ghafla ipo ili tu watembeze bakuli.... (Nadhani kwenye sekta ya omba omba na kulamba asali ndio wamefaulu)
 
Bado unaleta siamba, ongea leta na facts mimi nimekuambia miradi inasonga mbele hakuna lililosimama nimepita Busisi,SGR unaiona mpaka vichwa vya treni vimeingia na ujenzi katika lots mbalimbali unaendelea, Bwawa limefikia hatua nzuri, sasa projects zote hizi ni TZS trillions, njoo uniambie na figures ili nione hakuna kinachofanyika.

Watumishi wapya wanaajiriwa,madaraja yanapandishwa, vyeo vinapanda,mishahara inalipwa sasa hebu tueleze hizi theory zako basis yake ni ipi?
 
Mzee baba, achana na hiyo ndondocha ya CCM itakuumiza kichwa tu.
Haielewi hata inachotetea...
 
JKT lengo lake kubwa sio kutoa ajira bali ni kumjenga kijana kwa kumpa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama, kumfundisha kazi na ukakamavu haya ya kutumika kama chujio la ajira ni secondary aims Kama vile ambavyo lengo la elimu ni kutoa ujinga na sio ajira, Ajira itakuja baada ya kutoa ujinga.

Cha msingi unapokuwa JKT jaribu kuigeuza kama fursa kwako fanya kazi, kuwa mbunifu, acha uvivu na kufuata mkumbo, kuwa mdadisi show them why they have to take you utapata tu hizo nafasi tena nafasi nzuri tu mkuu, Wako vijana wenye uthubutu na ambao wapo vizuri upstairs Serikali inawahitaji hasa kwenye kada za ulinzi na usalama.

Tatizo letu huwa tunakumbuka shuka na kushakucha ingawaje sipingi kuwa connection zipo na hii ni kila sehemu kwenye kila sector ndio mfumo wa dunia mkuu.

All in all usikate tamaa omba kila nafasi zikitoka na mtangulize Mungu.
Kama hujawai KUFARIKI DUNIA huwezi kutusimulia KUFARIKI DUNIA kukoje..

✌️✌️✌️
 
Bado unaleta siamba, ongea leta na facts mimi nimekuambia miradi inasonga mbele hakuna lililosimama nimepita Busisi,SGR unaiona mpaka vichwa vya treni vimeingia na ujenzi katika lots mbalimbali unaendelea, Bwawa limefikia hatua nzuri, sasa projects zote hizi ni TZS trillions, njoo uniambie na figures ili nione hakuna kinachofanyika.

Watumishi wapya wanaajiriwa,madaraja yanapandishwa, vyeo vinapanda,mishahara inalipwa sasa hebu tueleze hizi theory zako basis yake ni ipi?
Na hapo ndipo unapopigiwa (pesa zinapigwa kwenye miradi inayocheleweshwa au kufanywa ndivyo sivyo)..., Unataka proof ? Hivi ngonjera za Makamba kutafuta Crane na alipewa kiasi gani cha fedha eti ili aisuke Tanesco Upya ?

Faida ya Bwawa ilikuwa ni kulimaliza ili umeme ushuke lakini hata halijaisha tushaambiwa na umeme hautashuka....; Hivi Ukaguzi uligundua ni pesa ngapi zinapotea na watu kuweka miradi hewa... na ni nini kimefanyika ? Mifumuko ya Bei ya kila leo ni mwendo wa excuses tu...

Tofauti yangu mimi na wewe (wewe upo kwenye kusifu na ku-compare kwamba hata JPM aliiba) Mimi nipo hapa kutetea kodi yangu kwahio hata JPM alipoharibu nilikuwa nasema na nitaendelea kusema..., ila facts ni kwamba ukifanya comparison sasa hivi ni kama mlevi aliyekosa mwelekeo sina uhakika kama tunakwenda nyuma, kushoto au kulia..., lakini kinachoendelea hakiridhishi..... Huo muda wa mapambio tungeutumia kuwakanya na kuwapigia makelele hawa watumishi wetu wanaojiona ni watawala....
 
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.

Komaa soldier adui sio mama yako
 
Na hapo ndipo unapopigiwa (pesa zinapigwa kwenye miradi inayocheleweshwa au kufanywa ndivyo sivyo)..., Unataka proof ? Hivi ngonjera za Makamba kutafuta Crane na alipewa kiasi gani cha fedha eti ili aisuke Tanesco Upya ?

Faida ya Bwawa ilikuwa ni kulimaliza ili umeme ushuke lakini hata halijaisha tushaambiwa na umeme hautashuka....; Hivi Ukaguzi uligundua ni pesa ngapi zinapotea na watu kuweka miradi hewa... na ni nini kimefanyika ? Mifumuko ya Bei ya kila leo ni mwendo wa excuses tu...

Tofauti yangu mimi na wewe (wewe upo kwenye kusifu na ku-compare kwamba hata JPM aliiba) Mimi nipo hapa kutetea kodi yangu kwahio hata JPM alipoharibu nilikuwa nasema na nitaendelea kusema..., ila facts ni kwamba ukifanya comparison sasa hivi ni kama mlevi aliyekosa mwelekeo sina uhakika kama tunakwenda nyuma, kushoto au kulia..., lakini kinachoendelea hakiridhishi..... Huo muda wa mapambio tungeutumia kuwakanya na kuwapigia makelele hawa watumishi wetu wanaojiona ni watawala....
Wapi niliposema JPM aliiba? narudia wewe tatizo lako unaunganisha sentensi tuu haujali sana kwenye kusoma,kuelewa na ku argue na kuleta maana ya unayoyaandika kama mtu mwenye weledi.
 
SERIKALI IJITAHIDI KUWAAJIRI HAWA VIJANA WANAOJITOLEA HUKO JKT. KIUKWELI KUJITOLEA MIAKA MIWILI YATAKA MOYO, SIYE MUJIBU MIEZI MITATU TUU TULIENYEKA HASWA.

HAWA NDUGU ZETU WANAOJITOLEA HUKO JKT NI WAZALENDO JAMANI KAMA KULIJENGA TAIFA WANALIJENGA KIUKWELI WANALIMA,WANASHIRIKI PIA UJENZI WA MIRADI MBALIMBALI NA WENGI NI WATOTO WA KIMASIKINI.

SERIKALI ITAMBUE JUHUDI ZAO NA MOYO WAO WA UZALENDO KWA KUWAPATIA AJIRA, HAWA VIJANA WAKO TAYARI KIMWILI NA KIAKILI KULIPIGANIA TAIFA LAO.

KUMRUDISHA MTU HUYU NYUMBANI AKAJIAJIRI INAFIKIRISHA.
 
Nanyie mnaoenda jkt itoshe kusema tumechoka malalamiko yenu.... Umepewa mafunzo ya kulenga shabaha/silaha... Kwanini usitoke mafunzoni moja kwa moja uoaja kumtest mwanaccm mmoja shabaha ya kichwa?. Ni Tz pekee yake ndio inatoa mafunzo ya namna hiyo afu vijana wakaachwa mtaani.
 
Back
Top Bottom