Phamarcist
JF-Expert Member
- Apr 18, 2021
- 219
- 479
Taasisi yeyote ikishaunganishwa na CCM haya ndio matokeo yake, rudi nyuma kwenye majaribio ya mapinduzi ya 60's na 80's pamoja na vimbwanga vya TANU YOUTH LEAGUE hapo ndipo maamuzi ya kijuha yalipoanzia.
Pole mtoa mada, kosa si lako na wanaokukosoa kwa kuleta mifumo yao hawajui maumivu yako.
Pole mtoa mada, kosa si lako na wanaokukosoa kwa kuleta mifumo yao hawajui maumivu yako.