Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

Mbona mnanitisha
Mwaka huu nina mpango wa kuelekea huko. Vip niende Ama nikae mkao wa kuvunga
Nenda tu mkuu ila zingatia baada ya kumaliza kozi nafasi zikitoka zozote omba iwe ni uhamiaji, magereza, JWTZ, Zimamoto na Uokoaji au polisi wewe omba huwezi jua bahati yako ipo upande gani shida wengi huwa wanataka JWTZ na wanapuuza majeshi mengine.
 
Wewe dogo kwa lugha yako hio hutakiwi kuwa hata sungusungu nalipongeza jeshi kwa kumrudisha kwao huyu dogo.
Hatokua na mchango wowote jeshini na hizo bange zako bora uvutie mtaani kwenu.
Ni kumsamehe tuu, napendekeza vijana wanao toboa mikataba NS wawe wanapewa counselling maana hii inawaathiri sana sana.
 
Sitetei uhuni unaofanywa lakini HIYO YA KUSEMA MNATUCHUKUA KWENDA KUTULIMISHA JKT binafsi naona siyo kweli maana kule mmeenda kwa hiari yenu wenyewe tena kwa kusaini kabisa HUKU MKIJUA KUNA KUPATA NA KUKOSA
 
Narudia reasoning yako inasoma negative, jitahidi sana kula mafuta ya samaki (omega three), japo inaonekana umedumaa kabisa huwez kuwa boosted anymore

Magufuli alikuwa anapanga uchumi, kisha afanye kinachofuata, haya mambo ya kufanya kiila kitu bila vipao mbele ndio vinasababisha taifa linapiga mark Time.

By the way ukosefu wa ajira ni tatizo la Dunia, wenzetu Nigeria warusha nyimbo wengi mitaani wana Masters, pamoja na kwamba hawakuwa na Magufuli.

Serikali makini inatakiwa kuweka mazimgira rafiki kwa vijana kujiajiri sio kuwaajiri. Haitaweza.
 
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu mnambiwa mkajiajiri kujiajiri nyoko madako yenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila posho siulikula mzee
 
Unaongelea jkt ya kwenye makaratasi hujui kitu ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…