Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea maji ya mgao eti kisa mvua hazijanyesha.
Yeye na kikundi chake kazi yao ni kutapanya kodi za Wananchi. Kununua magari ya kifahari, kuhonga Wasanii na Wanawake, kununua majumba Dubai na Nchi za Kiarabu. Kuishi kwa ufahari, kujenga majumba na majumba maeneo mbalimbali kwa ajili ya familia zao.
Yeye kazi yake kuhonga vijana wasio na ajira kujaza nyomi kwenye mikutano yake, kukesha kwenye mitandao ya kijamii ku comment kwenye post mbalimbali kumsifia na kuwatukana na kuwatisha wanaomkosoa.
Yeye kazi yake kuhonga kodi za wananchi kwa ajili ya kununua magoli ya simba na yanga.
Alafu cha ajabu wale waliopaswa kusimamia maslahi ya Wananchi wanawaua na kuwamaliza wananchi wanaojaribu kumkosoa huyu mtu anayefanya haya. Wanawaua, kuwabaka, kuwafungulia mashtaka ya uongo Mahakamani wanaojaribu kutafuta ukombozi wa kweli dhidi ya haya.
Wanawateka na kuwapoteza huku wao, ndugu zao na wazazi wao wakiwa sehemu ya Wananchi hawana maji mwezi sasa.
Sina deni na mzungu na kamwe sitamlaumu mzungu kuwaita na kuwalinganisha Waafrika na manyani.