IQ ya MTU watu wengi ni ndogo kuliko nyani ngedereMzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea maji ya mgao eti kisa mvua hazijanyesha.
Yeye na kikundi chake kazi yao ni kutapanya kodi za Wananchi. Kununua magari ya kifahari, kuhonga Wasanii na Wanawake, kununua majumba Dubai na Nchi za Kiarabu. Kuishi kwa ufahari, kujenga majumba na majumba maeneo mbalimbali kwa ajili ya familia zao.
Yeye kazi yake kuhonga vijana wasio na ajira kujaza nyomi kwenye mikutano yake, kukesha kwenye mitandao ya kijamii ku comment kwenye post mbalimbali kumsifia na kuwatukana na kuwatisha wanaomkosoa.
Yeye kazi yake kuhonga kodi za wananchi kwa ajili ya kununua magoli ya simba na yanga.
Alafu cha ajabu wale waliopaswa kusimamia maslahi ya Wananchi wanawaua na kuwamaliza wananchi wanaojaribu kumkosoa huyu mtu anayefanya haya. Wanawaua, kuwabaka, kuwafungulia mashtaka ya uongo Mahakamani wanaojaribu kutafuta ukombozi wa kweli dhidi ya haya.
Wanawateka na kuwapoteza huku wao, ndugu zao na wazazi wao wakiwa sehemu ya Wananchi hawana maji mwezi sasa.
Sina deni na mzungu na kamwe sitamlaumu mzungu kuwaita na kuwalinganisha Waafrika na manyani.
IQ ya MTU watu wengi ni ndogo kuliko nyaniMzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.

NAKAZIAMzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.

Moja ya sababu kubwa ya kuiba kura , ilikuwa wapate wabunge wote chawa ili wakiunda TUME ya kutengeneza katiba, hilo Bunge la machawa liidhinishe hiyo katiba itakayopendekezwa na wahuni!!! Bunge haramu haliwezi kuidhinisha katiba ya wananchi!!Suluhisho linajulikana
Katiba Mpya inayowapa nguvu kweli Wananchi kuwa na sauti juu ya Mustakabali wao. Inayofanya Viongozi wawajibike kweli kwa Wananchi na wakisimamiwa ipasavyo na mifumo imara.
Mfumo Mpya na wa Haki wa Uchaguzi unaohakikisha Wananchi wanaongozwa na Viongozi waliowachagua kweli na Wanaoweza kuwawajibisha kweli.
Cha kusangaza pamoja na yote hayo kuna watu wanaua wenzao kulazimisha atawale huku wao na familia zao wakiwa hata maji hawana mwezi sasa.Ukitaka kujua Samia hakubaliki ndani ya nchi hii tembelea vijijini hapendwi na kila sehemu ni kusemwa vibaya.. unashangaa mpaka wanawake wenzake hawampendi.. hii miaka 5 itakuwa ya moto sn unaongozaje raia wasiokupenda ?
Mbona ninyi hamjauwawa?Lucas Mwashambwa njoo kijana
Bibie nimekumisi.
Akili ya Mwafrika haina tofauti na akili ya nyani kwa kweli.Huyo bi chura na genge lake pamoja na machawa wake na mbogamboga woote ndio tatizo lenyewe
Polisi wakaoge baharini!
Mods wakinipiga ban wananiachia ndani ya masaa kadhaa 😂.Naona mmekutana tena!
Nyooshaneni ni waitie moderator..
Hv juzi ulitoka?