Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Mkuu Siyo hao wanaokesha kwenye page za mabeberuWewe ndo nyani mkuu

Wale ambao sio manyani tutaandamana hadi kieleweke. Nyie manyani endeleeni tu kutukebehiToka uandamane
Inaumiza sana. Unaua wananchi wenzako ili anayewatesa kwa kujinufaisha binafsi aendelee kuwatesa na kujinufaisha binafsi.Kaka umeongea kwa uchungu sana.
Kenge wewe umesharudi kulala pembezoni mwa mto rufiji?Toka uandamane
Waafrika ni laana
Ila ukiiba mabilioni hupatwi na kifoNyie mnaokesha kwenye bunge la ulaya ndo mnaonekana manyani.
Africa ukiiba mtungi wa gesi ujue ni kifo
vp mbna hukutokaMzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea maji ya mgao eti kisa mvua hazijanyesha.
Yeye na kikundi chake kazi yao ni kutapanya kodi za Wananchi. Kununua magari ya kifahari, kuhonga Wasanii na Wanawake, kununua majumba Dubai na Nchi za Kiarabu. Kuishi kwa ufahari, kujenga majumba na majumba maeneo mbalimbali kwa ajili ya familia zao.
Yeye kazi yake kuhonga vijana wasio na ajira kujaza nyomi kwenye mikutano yake, kukesha kwenye mitandao ya kijamii ku comment kwenye post mbalimbali kumsifia na kuwatukana na kuwatisha wanaomkosoa.
Yeye kazi yake kuhonga kodi za wananchi kwa ajili ya kununua magoli ya simba na yanga.
Alafu cha ajabu wale waliopaswa kusimamia maslahi ya Wananchi wanawaua na kuwamaliza wananchi wanaojaribu kumkosoa huyu mtu anayefanya haya. Wanawaua, kuwabaka, kuwafungulia mashtaka ya uongo Mahakamani wanaojaribu kutafuta ukombozi wa kweli dhidi ya haya.
Wanawateka na kuwapoteza huku wao, ndugu zao na wazazi wao wakiwa sehemu ya Wananchi hawana maji mwezi sasa.
Sina deni na mzungu na kamwe sitamlaumu mzungu kuwaita na kuwalinganisha Waafrika na manyani.
Wewe ndiyo ulikuwa unachora ramani ya maandamano na kwamba 29/10 mnachukua Serikali.Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.

Suluhisho ni Nini kivipi Mzee, Nenda kwenye page ya SAMIA umuulize. Unadhani wataalamu hawatoi njia za kusolve hii ... Kiongozi amesema yy ni chura kiziwi, Sasa nan apoteze nguvu kujiongelesha hapa.Suluhusho ni nini mkuu?
Basi kama chura hasikii halafu ninyi mnamwongelesha basi mtambue kuwa hakuna kinachobadilika.Suluhisho ni Nini kivipi Mzee, Nenda kwenye page ya SAMIA umuulize. Unadhani wataalamu hawatoi njia za kusolve hii ... Kiongozi amesema yy ni chura kiziwi, Sasa nan apoteze nguvu kujiongelesha hapa.
Umeshachanganyikiwa? Wewe kiroboto Unakumbuka nilikuambia hamyofanya maandamano Dec 9, Ile pale tuliwa ruhusu Kwa Sababu kijambo chetu( uchaguzi) ulikuwa haujaisha.. lakini tulipohakikisha maanduku yote yameshaenda Katika sehemu ya majumuisho.. ndiyo tukawqonyesha dola haipinduliwi Kwa kula.kiti Moto na maneno ya mipasho Kwenye social media.. hivi sasanabakia kulia lia..Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea maji ya mgao eti kisa mvua hazijanyesha.
Yeye na kikundi chake kazi yao ni kutapanya kodi za Wananchi. Kununua magari ya kifahari, kuhonga Wasanii na Wanawake, kununua majumba Dubai na Nchi za Kiarabu. Kuishi kwa ufahari, kujenga majumba na majumba maeneo mbalimbali kwa ajili ya familia zao.
Yeye kazi yake kuhonga vijana wasio na ajira kujaza nyomi kwenye mikutano yake, kukesha kwenye mitandao ya kijamii ku comment kwenye post mbalimbali kumsifia na kuwatukana na kuwatisha wanaomkosoa.
Yeye kazi yake kuhonga kodi za wananchi kwa ajili ya kununua magoli ya simba na yanga.
Alafu cha ajabu wale waliopaswa kusimamia maslahi ya Wananchi wanawaua na kuwamaliza wananchi wanaojaribu kumkosoa huyu mtu anayefanya haya. Wanawaua, kuwabaka, kuwafungulia mashtaka ya uongo Mahakamani wanaojaribu kutafuta ukombozi wa kweli dhidi ya haya.
Wanawateka na kuwapoteza huku wao, ndugu zao na wazazi wao wakiwa sehemu ya Wananchi hawana maji mwezi sasa.
Sina deni na mzungu na kamwe sitamlaumu mzungu kuwaita na kuwalinganisha Waafrika na manyani.
Siku yako inakuja. Usitie shakaUmeshachanganyikiwa? Wewe kiroboto Unakumbuka nilikuambia hamyofanya maandamano Dec 9, Ile pale tuliwa ruhusu Kwa Sababu kijambo chetu( uchaguzi) ulikuwa haujaisha.. lakini tulipohakikisha maanduku yote yameshaenda Katika sehemu ya majumuisho.. ndiyo tukawqonyesha dola haipinduliwi Kwa kula.kiti Moto na maneno ya mipasho Kwenye social media.. hivi sasanabakia kulia lia..
Sasa tunawaambia hata ikifika 2030.. wale wazushi wa ndani ya cha na nje ya chama watakuwa wanajibu masuala ya motoni...
Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea maji ya mgao eti kisa mvua hazijanyesha.
Yeye na kikundi chake kazi yao ni kutapanya kodi za Wananchi. Kununua magari ya kifahari, kuhonga Wasanii na Wanawake, kununua majumba Dubai na Nchi za Kiarabu. Kuishi kwa ufahari, kujenga majumba na majumba maeneo mbalimbali kwa ajili ya familia zao.
Yeye kazi yake kuhonga vijana wasio na ajira kujaza nyomi kwenye mikutano yake, kukesha kwenye mitandao ya kijamii ku comment kwenye post mbalimbali kumsifia na kuwatukana na kuwatisha wanaomkosoa.
Yeye kazi yake kuhonga kodi za wananchi kwa ajili ya kununua magoli ya simba na yanga.
Alafu cha ajabu wale waliopaswa kusimamia maslahi ya Wananchi wanawaua na kuwamaliza wananchi wanaojaribu kumkosoa huyu mtu anayefanya haya. Wanawaua, kuwabaka, kuwafungulia mashtaka ya uongo Mahakamani wanaojaribu kutafuta ukombozi wa kweli dhidi ya haya.
Wanawateka na kuwapoteza huku wao, ndugu zao na wazaziao wakiwa sehemu ya Wananchi hawana maji mwezi sasa.