Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
CCM, Bunge, Polisi, jeshi na TIss kwakweli ndio wanao ichelewesha hii nchi lawama zote ziende kwao.Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea maji ya mgao eti kisa mvua hazijanyesha.
Yeye na kikundi chake kazi yao ni kutapanya kodi za Wananchi. Kununua magari ya kifahari, kuhonga Wasanii na Wanawake, kununua majumba Dubai na Nchi za Kiarabu. Kuishi kwa ufahari, kujenga majumba na majumba maeneo mbalimbali kwa ajili ya familia zao.
Yeye kazi yake kuhonga vijana wasio na ajira kujaza nyomi kwenye mikutano yake, kukesha kwenye mitandao ya kijamii ku comment kwenye post mbalimbali kumsifia na kuwatukana na kuwatisha wanaomkosoa.
Yeye kazi yake kuhonga kodi za wananchi kwa ajili ya kununua magoli ya simba na yanga.
Alafu cha ajabu wale waliopaswa kusimamia maslahi ya Wananchi wanawaua na kuwamaliza wananchi wanaojaribu kumkosoa huyu anayefanya haya. Wanawateka na kuwapoteza huku wao, ndugu zao na wazazi wao wakiwa sehemu ya Wananchi hawana maji mwezi sasa.
Sina deni na simlaumu mzungu kuwaita na kuwalinganisha Waafrika na manyani.
Kama umesoma uzi na hujajua suluhisho ni nini basi na wewe ni sehemu ya tatizo.Suluhusho ni nini mkuu?
Aibu ya karne.Uzuri ni kwamba hata wao wanakosa maji, hata wao wanakosa umeme, hata wao tena walio wengi wanaishi maisha magumu tu. Wanalinda kundi dogo lenye maslahi makubwa ya kibinafsi.
60+yrs nchi inanuka uvundo maana hakuna maji, wakati huo tuna water bodies all over, tuna maji ardhini ila watu wanajilundikia tu.
KabisaManyani wako CCM, mbwa wale
Unadhani tufanye nini kama Taifa tuondokane na haya matatizo upesi? Maana tumekuwa tunawasema tu hawa watu.Kama umesoma uzi na hujajua suluhisho ni nini basi na weqe ni sehemu ya tatizo.
Suluhisho linajulikanaUnadhani tufanye nini kama Taifa tuondokane na haya matatizo upesi? Maana tumekuwa tunawasema tu hawa watu.
Kuwa mwafrika ni laana.Fake human beings do exist
Wewe ndo nyani mkuuNyie mnaokesha kwenye bunge la ulaya ndo mnaonekana manyani.
Africa ukiiba mtungi wa gesi ujue ni kifo
Vyema.Suluhisho linajulikana
Katiba Mpya inayowapa nguvu kweli Wananchi kuwa na sauti juu ya Mustakabali wao. Inayofanya Viongozi wawajibike kweli kwa Wananchi na wakisimamiwa ipasavyo na mifumo imara.
Mfumo Mpya na wa Haki wa Uchaguzi unaohakikisha Wananchi wanaongozwa na Viongozi waliowachagua kweli na Wanaoweza kuwawajibisha kweli.
Bibie nimekumisi.Toka uandamane