Mnaua wenzenu kumlinda mtu na kikundi chake kushika madaraka halafu mna wiki 3 hamna Maji

vp mbna hukutoka
 
Wewe ndiyo ulikuwa unachora ramani ya maandamano na kwamba 29/10 mnachukua Serikali.

Sasa hivi unalialia kuhusu maji!! Chimba kisima nyumbani kwako wewe bwege
 
Bado tuna safari ndefu sana kama taifa na hawa viongozi waliojipachika ,Sijui kama wanamaslai mapana kwa taifa tofauti na kubwabwaja maneno tu yasiyo na tija.

Poor Tanganyika.
 
Suluhusho ni nini mkuu?
Suluhisho ni Nini kivipi Mzee, Nenda kwenye page ya SAMIA umuulize. Unadhani wataalamu hawatoi njia za kusolve hii ... Kiongozi amesema yy ni chura kiziwi, Sasa nan apoteze nguvu kujiongelesha hapa.
 
Suluhisho ni Nini kivipi Mzee, Nenda kwenye page ya SAMIA umuulize. Unadhani wataalamu hawatoi njia za kusolve hii ... Kiongozi amesema yy ni chura kiziwi, Sasa nan apoteze nguvu kujiongelesha hapa.
Basi kama chura hasikii halafu ninyi mnamwongelesha basi mtambue kuwa hakuna kinachobadilika.

Ni hivi! Ni Bora kuingia msituni (kama inawezekana) kuipbania Tanganyika zaidi ya kumwongelesha mtua ambaye hasikii na hana mpango wa kusikia.

Ili hii nchi ikombolewe inapaswa ichafuliwe kupita kiasi ndipo isafishwe upya.

Kuongeaongea hakusaidii tena.
 
Umeshachanganyikiwa? Wewe kiroboto Unakumbuka nilikuambia hamyofanya maandamano Dec 9, Ile pale tuliwa ruhusu Kwa Sababu kijambo chetu( uchaguzi) ulikuwa haujaisha.. lakini tulipohakikisha maanduku yote yameshaenda Katika sehemu ya majumuisho.. ndiyo tukawqonyesha dola haipinduliwi Kwa kula.kiti Moto na maneno ya mipasho Kwenye social media.. hivi sasanabakia kulia lia..
Sasa tunawaambia hata ikifika 2030.. wale wazushi wa ndani ya cha na nje ya chama watakuwa wanajibu masuala ya motoni...
 
Siku yako inakuja. Usitie shaka
 

Watanganyika ni mazombi sana kuanzia waliopo katika vyombo vya Dola hadi raia wa kawaida mtaani.

Tusubiri Gen Alpha na Gen Beta waje wakomboe nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…