Mnaua wenzenu kumlinda mtu na kikundi chake kushika madaraka halafu mna wiki 3 hamna Maji

Wamerundika mapesa ya wizi Bank, lakini wanaishi na kujionesha kwenye jamii kamba wanaishi maisha ya Kitanzania.
 
IQ ya MTU watu wengi ni ndogo kuliko nyani ngedere
 
IQ ya MTU watu wengi ni ndogo kuliko nyani
 
Yeah, vipofu hawajali na wenye kuona watabaki kulia kila siku. Kwakuwa wameogopa ku-embrace chaos. Mabadiliko yatakuja through a slow integration of the patriots into the system. I estimate the process will be completed in 15 years.

Kwa sasa vipofu ni wengi sana. Na kitendo cha kuwafungua macho na kuwaonyesha jinsi maisha yanatakiwa kuwa in the current world system kinahitaji heavy efforts.
 
Samia aliwahi sema at one point kuwa "Tunafanya vizuri kuliko marekani na nchi kadhaa za ulaya"

Nafikiri alimaanisha marekani ya kizimkazi
 
NAKAZIA
 
Moja ya sababu kubwa ya kuiba kura , ilikuwa wapate wabunge wote chawa ili wakiunda TUME ya kutengeneza katiba, hilo Bunge la machawa liidhinishe hiyo katiba itakayopendekezwa na wahuni!!! Bunge haramu haliwezi kuidhinisha katiba ya wananchi!!
 
Ukitaka kujua Samia hakubaliki ndani ya nchi hii tembelea vijijini hapendwi na kila sehemu ni kusemwa vibaya.. unashangaa mpaka wanawake wenzake hawampendi.. hii miaka 5 itakuwa ya moto sn unaongozaje raia wasiokupenda ?
 
Ukitaka kujua Samia hakubaliki ndani ya nchi hii tembelea vijijini hapendwi na kila sehemu ni kusemwa vibaya.. unashangaa mpaka wanawake wenzake hawampendi.. hii miaka 5 itakuwa ya moto sn unaongozaje raia wasiokupenda ?
Cha kusangaza pamoja na yote hayo kuna watu wanaua wenzao kulazimisha atawale huku wao na familia zao wakiwa hata maji hawana mwezi sasa.
 
Huyo bi chura na genge lake pamoja na machawa wake na mbogamboga woote ndio tatizo lenyewe

Polisi wakaoge baharini!
 
Huyo bi chura na genge lake pamoja na machawa wake na mbogamboga woote ndio tatizo lenyewe

Polisi wakaoge baharini!
Akili ya Mwafrika haina tofauti na akili ya nyani kwa kweli.

Mnaua wenzenu kulinda kikundi kidogo kiwatawale kwa nguvu wakati kikundi hicho hakina uwezo wala maarifa ya kuwatatulia changamoto za msingi zinazowakabili hadi nyie na ukoo wenu. Wanachiwaza ni kupeana vyeo na ulaji huku wakijinufaisha wao na familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…