Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

Ni kweli mkuu..

Ukichanganya na madua kwa wingi, inabidi kuwa na umakini hasa ukishaona umekua targeted kama hivyo maana adui yako atatumia kila njia ,muda wowote ,akuumize.

maana kila mtu ana udhaifu. adui huamini kwenye muda kwamba ipo siku utateleza tu ........naye husubir hapo.
The only option ni kukaa mbali na maadui..

Mfano hata hapa jf, kuna ID fulani inabidi uziweke ignore list, sio kwasababu huwezi kuzikabili ila kujua kuwa unnecessary drama huwa ni chanzo cha downfall.

Ukikuta familia ambayo ndugu wote ni maskini inabidi mtafute namna ya kuwa avoid at all costs, because misery loves company
 
Yeah, some souls are so fragile, unaweza kweli kushangaa inakuwaje, kwa nini asimove on, ila moyo wake ni mlaini sana.

Hata humj kuna watu wanaumozwa na maneno mawili matatu ya watu, unakuta kabisa kakosa raha kisa fulani hamkubali, anawaza kabisa...mioyo inatofautiana sana.
 
Nimekuja kugundua mostly japo ni genetics, ila sometimes unaweza kukuta ni factors tofauti kabisa.. Huenda labda alikuwa anadhani by all that beauty she had, asingeweza kubwagwa!!

So, ni kweli kabisa sometimes unapaswa kuacha kujipa umuhimu kwa watu, if some doesn't see your worth, let he or she go
 
The difficult part is letting go!!
 
Inaonyesha alicheat kweli, asingecheat asingepitia hayo, angalia unachosema akawa Malaya, huwezi kuanza umalaya kama hukuwa Malaya hapo kwanza, kama hakucheat angebaki na msimamo na Mungu angesimama upande wake.....

Mtu ashajua ana adui upande wa pili halafu unafanya vitu ambavyo adui atakukalia juuu
 
Hiyo I abaki kuwa kwake, maana sisi hatukuwepo kipindi hayo yanatokea..

Kufanya malaya yaweza kuwa kama coping mechanism ya kujaribu ku numb the pain
 
Back
Top Bottom