Angekuwa anampenda asinge cheat.Aisee! Alimpenda sana jamaa!
Unafikiri kufukuzwa alionewa?Hiyo I abaki kuwa kwake, maana sisi hatukuwepo kipindi hayo yanatokea..
Kufanya malaya yaweza kuwa kama coping mechanism ya kujaribu ku numb the pain
Hakika sometimes inabidi uachane na patterns fulani ili uweze kubadilika.Kuna jamaa alitorokea kusikojulikana akatelekeza familia baada ya kumfumania mke wake live, baadaye mke naye aliwehuka
Kabla ya tukio jamaa alionekana kama ngangari dhidi ya majanga
DuhSometimes watu hugeukia addiction Kam pombe na ngono, kujaribu kuondoa maumivu ya kumpenda mtu.
Yule alikuwa anafanya yale sio kwasababu hapendi, ila alitaka kupata temporary relief.
Kijana wangu naona unakuwa matured kwa sasa, keep growing ikiwezekana ile hukumu ya miezi sita ikiisha u-merge I'd tu utembee na hii.Kuna stori leo nataka nishee nanyi.
Kuna mamdogo wangu (true stori) aliolewa na mtu mwenye hela zake. She was indeed a charming woman.
Na alipo olewa ndipo alizidi ku glow, maisha yalienda vyema sana kwake.
Ilikuwa familia yenye Furaha tele,
Ila ndugu upande wa mwanaume walitokea kumchukia, so akajikuta inakuwa ngumu sana ku vibe nao.
Na yeye, alikuwa mwalimu, kama ujuavuo yule ni mwanamke tena mkali tu, so unakuta wanaume kadhaa wanamrushia ndoano. Yeye hakuwa mtu unaye dhani anaweza Kucheat, ila sijui ilikuwaje, mpaka wale ndugu wakamnasa yuko na mwanaume, then wakapitiza information kwa kaka yao,
Na yule mwanaume alikuwa hana mbambamba, akafukuza mazima, walikuwa na mtoto mmoja. Jamaa aka chukua mtoto, then akamrudisha home.
That, incident ilimvujna kisaikolojia, mamdogo ambaye alikuwa mcha dini akaanza kunywa pombe kama kichaa, alikuwa ana ondoka anatoroka kwa bibi, anakwenda kukesha bar, anapitia na wanaume, anabakwa, aisee mpka nikawa najiuliza as to why, binadamu wengine wako so fragile?
Ilifikia hatua akawa analala ndani, asubuhi mpaka jioni, hana tumaini, mwili umekuwa kama mzee, miguu ime vimba, yaani it was hectic..
Sasa, nikawa najiuliza, kama kweli Haku cheat na alionewa mbona angeli move on tu haraka? Wanaume wanaomtaka wako wangapi? Mbona angeolewa tena na maisha yangesonga?
So, I came to realization kuwa, sio kila mtu yuko strong, wengine wako na fragile soul, yaani a single twist ya maisha inaweza kuharibu destiny yake...
Mpaka wa leo, haja wahi kuwa sawa, she's living in her moms house, anaweza kuwa sawa kwa muda, then akarudi kwenye pombe. Yaani shes having episodes kila mara. Mpaka unasema why can't she just snap out of it?.
Ndugu zangu, mnapofanya matukio, jaribu I kuangalia mtu kama anaweza kuhandle, kuna wengine hawawezi na inawaharibu maisha yao yote.
Ni hayo tu.
Kijana wangu kuna watu wanataka umaarufu kupitia I'd yako . Wapotezee tu usiwajibuAre you mad?
She's in her 40s now, Sidhani kama ana any hope tena.
By the time anaachwa she was in her early 30s na hakupata muda wa kujiinua, sasa hivi ndo hawezi kabisa. Maana kama ni trauma nilisha kuwa soo chronic
Kinyonga hajawahi kukaa na rangi moja kwa muda mrefu.Kijana wangu naona unakuwa matured kwa sasa, keep growing ikiwezekana ile hukumu ya miezi sita ikiisha u-merge I'd tu utembee na hii.
Kijana tumemkomaza huenda akatulia apambanie badge ya U-platnum 😎 sasa hiviKinyonga hajawahi kukaa na rangi moja kwa muda mrefu.
Hakuna mwenye taarifa za jamaa baada ya tukio, yule mama amishakufa kwa Ukimwi.Hakika sometimes inabidi uachane na patterns fulani ili uweze kubadilika.
Pole kwa mwanamke aliye wehuka, na hongera kwa jamaa kuweza kuwa mtu imara.
Ndio ninachokipitia sasa hivi, vipi unatuonea wivu na wewe au?Au kapagawa kwa sababu mume wake alikua na hela nyingi, na yeye hakua na mradi wowote wa kumuingizia pesa..kutoka kupewa matumizi ya 1 million tsh per month..hadi 0.. mtu anaona kama amefukuzwa kazi kwenye kampuni..
Hata wadada wengi wa mjini unakuta kapangishiwa nyumba analipiwa Kodi ya million 1 kwa mwezi, amepewa gari, iphone, furniture za ndani, sponsor akimuacha, mdada atapitia depression Kali, k.v aliajiriwa
Everything is possible under the sun!Au someone dealt with her traditionally ili kumvuruga akili..kuachika iwe tu kisingizio Cha kuvurugika akili.. Seran leo dada binti kiziwi
Katika haya maisha mara zote nimekuwa nikisema “Usimlaumu mtu kwa matokeo yanayoonekana baada ya kukumbwa na changamoto”Kuna jamaa alitorokea kusikojulikana akatelekeza familia baada ya kumfumania mke wake live, baadaye mke naye aliwehuka
Kabla ya tukio jamaa alionekana kama ngangari dhidi ya majanga