Olmo
JF-Expert Member
- Jun 21, 2026
- 1,213
- 2,198
Story zenu hizi hatuwaelewi au mmetumwa ? Sisi ngoja tusubiri ratiba ya kesho tukakinukisheSi kutaka ku expose kila kitu, ilimradi watu waone japo picha tu inatosha
Story zenu hizi hatuwaelewi au mmetumwa ? Sisi ngoja tusubiri ratiba ya kesho tukakinukisheSi kutaka ku expose kila kitu, ilimradi watu waone japo picha tu inatosha
Kuna mengi sana nyuma ya pazia ambayo sisi wa nje tunaweza tusiyajue.Au kapagawa kwa sababu mume wake alikua na hela nyingi, na yeye hakua na mradi wowote wa kumuingizia pesa..kutoka kupewa matumizi ya 1 million tsh per month..hadi 0.. mtu anaona kama amefukuzwa kazi kwenye kampuni..
Hata wadada wengi wa mjini unakuta kapangishiwa nyumba analipiwa Kodi ya million 1 kwa mwezi, amepewa gari, iphone, furniture za ndani, sponsor akimuacha, mdada atapitia depression Kali, k.v aliajiriwa
Au someone dealt with her traditionally ili kumvuruga akili..kuachika iwe tu kisingizio Cha kuvurugika akili.. Seran leo dada binti kiziwi
Angekuwa anampenda sana a singe-cheat,Aisee! Alimpenda sana jamaa!
Upite muda hata miezi miwili halafu muombe Mkurugenzi mwenyewe, atashauriana na management watakufungulia tuNipe the whole process mkuu, nimejaribu wanasema nisuubiri Nita subiri mpk lini?
Ni kweli kabisa.Mwanamke msaliti sio wa kusamehe. Ukishajua unawindwa unapaswa kuwa makini sana kwa kila jambo kwa sababu kosa lako moja tu ni ushindi kwa wakuwindao.
Kuna watu kumove on hawawezi na wakiweza ni kwa muda tu na matokeo yake hiyo hali inaleta uharibifu wa jumla maishani.
Ndo a cheat sababu ya kumpenda Sana jamaa?Aisee! Alimpenda sana jamaa!
Ni kweli akitumbukia kwenye ulevi matata na walevi wa gongo wakawa wanamfurahia, na Hana uhakika wa chakula.Aisee. Ile incident ya kuachwa ndo ilimpeleka shimoni zaidi.
Ndo namna wanawake wasio na hope hufanya. Maana anakuwa kakosa nguvu hata ya kujipambania maisha yakeNi kweli akitumbukia kwenye ulevi matata na walevi wa gongo wakawa wanamfurahia, na Hana uhakika wa chakula.
Haya maisha haya .....
Hawana mipaka wanajirahisisha sana na ni wake za watuHalafu licha ya kitendo chenyewe
Kwa mwanamke hata ile tabia ya kufanya mwanaume mwengine ambaye si memeo ahisi anaweza kukufikia ni umalaya nao
Unajua umeolewa kwanini usiwe na mipaka inayofanya wanaume wakwere wajue sehemu yao
Wanawake hufungua njia ya mahusiano kwa 80%. Watu wazima tunajua hilo, vijana mtajua wenyewe kubisha au kukubaliJust like the way wewe mwanaume una fall into temptations nao pia wanaangukia huko. Hakuna binadamu aliyekamilika
Muombe tu, PM yake ipo waziMaxence mwenyewe? Na je unaweza nipatia mawasiliano naye?