Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Umeomba rufaa ? Au mawasiliano yake binafsi?Tayari mambo bye mkuu. Ila nimesubiri na wamenishughulikia
Umeomba rufaa ? Au mawasiliano yake binafsi?Tayari mambo bye mkuu. Ila nimesubiri na wamenishughulikia
Kwahiyo imekuwaje ? Una merge I'ds au unarudi kwenye I'd yako ile ile ya zamani ?Yeye mwenyewe, pia ni baada ya kuongea na mods kwa muda mrefu
Never forgive a cheater.
Alipoamua kusaliti alipaswa kujiandaa na matokeo ya usaliti wake.
Pole zake though. Iwe funzo kwa wengine.
[/Sahihi mkuu
Hii post kunasehemu nilitaka niipeleke mkuu ndio maana nikaifuta harakaUnaongelea nini mkuu?
Anaweza kuinuka, it is never too late! Asili haina kuwahi wala kuchelewa.She can start afresh na akawa na maisha mazuri zaidi ya hayo ya mwanzo.Ustaarabu anapata wapi, na alisha umizwa vibaya? She's tormented na kuinuka tena ishakuwa mtihani
Atafute ka Serengeti ambako hakana hela akatunze kamliwazePole yake sana.
I can feel the pain anayopitia.
Akikumbuka yale maisha na mtoto wake. Dah. Ni ngumu kuhandle.
Ila Umesema ni Mwl.
Je huko aliko kwa Mama yake . Bado anaendelea kufundisha?.
Huyo anatakiwa apate mwanaume sahihi ili amtulize . Otherwise atapotea kabisa.
40 yrs bado anayo nafasi ya kurekebisha na kufurahia maisha.
Ni kweli kabisa mkuu. Wanawake wengi hufikiri ndoa ni kitu cha kuchezea. Na wana ruka na vijana wadogo waki dhani ni sawa tu, mpaka kiwalambe ndo watambue kuwa kumbe maisha yao hayakurevolve kwenye uhuru na uzuri waoWahuni wakasema ijui size ya vita unayopigana nayo,kisha fanya mikakati sahihi.
Umeshaona una ndoa yenye vita kali sana kutoka kwa ndugu,bado nguvu ya kusimama na mwanaume mwingine unaitoa wapi??kama angekuwa smart,basi huyo aliyekuwa akisimama naye alifaa awe ndiye next move ikiwa mambo yangeharibika sio kuchagua pombe.
Huwa naongea sana na wanawake,ktk maisha penda sana kutizama mbele juu,ukiamua kucheat atleast cheat na mtu bora kumzidi mumeo na uwe na uhakika atakusitiri mambo yakiyumba,una mume prof,meneja,mchungaji,Eng,unakwenda kutiwa na boda boda😆😆,ukishikwa ukafukuzwa unarukwa na akili,fool.
Kwani hukujua gharama za unachofanya!!!!
Jukumu la kuujua udhaifu wa kifua chako ni lako mhusika sio la anayekuhukumu baada ya wewe kumkosea.
Kweli kabisa, kubaki kwenye majonzi ni kuendelea kuruhusu moto ukuchome wakati uhuru wa ku uzima unaoAnaweza kuinuka, it is never too late! Asili haina kuwahi wala kuchelewa.She can start afresh na akawa na maisha mazuri zaidi ya hayo ya mwanzo.
Kuhusu mambo ya kucheat, I cant judge, sababu nimegundua ngono inafanyika sana, sema ina usiri mkubwa, wanaomnyooshea vidole ndo haohao wanakitembeza au kutembezewa balaa.
Inawezekana alitengenezewa mazingira, akajaa, watu wakamaliza kazi.
Aendelee mbele, kumlilia binadamu mwenzako mwenye nyama na damu ni ukichaa cha kiwango cha juu..
Kweli kabisa,
In her incident walikuwa wanasema mabaya kumhusu ila mumewe hakupata evidence, walimtafuta mara kibao sana.
Aisee, ndugu ni wabaya sana, labda huwa wanaona zile mali za mumewe atafaidi peke yake? Duuh aisee watu wabaya sana, ndo maana tunashauriwa tusiendekeze ndugu
Nimeipenda hii😀Kinyonga hajawahi kukaa na rangi moja kwa muda mrefu.