Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Napenda kukukumbusha utumie neno "mkuu" bila kuhusisha jinsi ya mtu.Hayo mengine ni mali yako.Kwanini uko triggered?
Nimesema wewe kuonesha mfano tu. Na kubakwa ni outcomes za kujikuta amejiingiza kwenye addiction, ambacho haujaelewa ni kipi?
The only option ni kukaa mbali na maadui..Ni kweli mkuu..
Ukichanganya na madua kwa wingi, inabidi kuwa na umakini hasa ukishaona umekua targeted kama hivyo maana adui yako atatumia kila njia ,muda wowote ,akuumize.
maana kila mtu ana udhaifu. adui huamini kwenye muda kwamba ipo siku utateleza tu ........naye husubir hapo.
Nimekuja kugundua mostly japo ni genetics, ila sometimes unaweza kukuta ni factors tofauti kabisa.. Huenda labda alikuwa anadhani by all that beauty she had, asingeweza kubwagwa!!Yeah, some souls are so fragile, unaweza kweli kushangaa inakuwaje, kwa nini asimove on, ila moyo wake ni mlaini sana.
Hata humj kuna watu wanaumozwa na maneno mawili matatu ya watu, unakuta kabisa kakosa raha kisa fulani hamkubali, anawaza kabisa...mioyo inatofautiana sana.
The difficult part is letting go!!Nimekuja kugundua mostly japo ni genetics, ila sometimes unaweza kukuta ni factors tofauti kabisa.. Huenda labda alikuwa anadhani by all that beauty she had, asingeweza kubwagwa!!
So, ni kweli kabisa sometimes unapaswa kuacha kujipa umuhimu kwa watu, if some doesn't see your worth, let he or she go
Umeshawahi kupata mtikiso?Sio wao.
Ni sisi watendwa tunatakiwa kuwa imara kiakili kuhandle mtikisiko wowote utakaotokea
Ye ndiyo aliumiza mwenzake kwa kucheatUstaarabu anapata wapi, na alisha umizwa vibaya? She's tormented na kuinuka tena ishakuwa mtihani
Hiyo I abaki kuwa kwake, maana sisi hatukuwepo kipindi hayo yanatokea..Inaonyesha alicheat kweli, asingecheat asingepitia hayo, angalia unachosema akawa Malaya, huwezi kuanza umalaya kama hukuwa Malaya hapo kwanza, kama hakucheat angebaki na msimamo na Mungu angesimama upande wake.....
Mtu ashajua ana adui upande wa pili halafu unafanya vitu ambavyo adui atakukalia juuu