Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!
Nimekusouma kaka, next time nitajirekebisha and sinta post thread yoyote hapa JF kwa kumix Swahili and Kiingereza.
Kuna nyingine inaitwa Ori-Flames......Upuuzi mtupu..Wapo wengi hata JF ngoja waje..
Jumatano ya wiki iliyo pita , nikiwa maeneo ya Mlimani City, nilikutana na mdada mmoja niliyekuwa nimepotezana naye for like 2 years..Aliomba namba zangu za simu kisha akaniuliza kama nitakuwa na nafasi jumapili ya wiki hiyo around saa saba mchana. I told her what is the problem? akaniambia kuna meeting muhimu sana ambayo angependa kuona na mimi nikishiriki. Nikamwambia hakuna shida. Siku hiyo akaniomba tukutane maeneo ya mwenge, nikamdrive hadi pale ITV kwenye ukumbi wa mikutano wa GNLD. She told me it was a GNLD meeting. She is a member, she has invited me to listen to what they are doing and may be if interested nijiunge nao pia. Nilitaka kurudi hapo hapo but nikasema ngoja niende kuwasikia wana kitu gani kipya ambacho sijawahi kukisikia mahali., ( I knew about this cra.p ) since 2001 and i know what they are actually doing ).
WAKATI WA KUTOA USHUHUDA
Baada ya introduction na kabobo kutoka kwa aliyekuwa msemaji mkuu wa hiyo meeting, ikafikia zamu ya watu mbalimbali ambao ni memba wa GNLD kutoa shuhuda zao. Huyo msichana alikuwa miongoni mwa walio toa ushuhuda.
I WAS SO SO DISAPOINTED WITH THEM.
She said, nimejiunga GNLD tangu mwaka 2009 and blah blah, Now ninaingiza PESA NYINGI SANA KWA MWEZI!
Ninaingiza shilingi LAKI SITA KWA MWEZI! ( Hivi kweli Graduate wa Chuo Kikuu anaweza kuwa na mawazo mgando kiasi hiki! Shilingi laki sita kwa mwezi ni pesa ambayo mtu anaweza kuongea na kujisifu mbele ya watu? Hii ni hela unayo takiwa kuingiza kwa siku moja bana acheni ujinga nyie.
Others were talking like, NIMEFIKA HADI NAIROBI MIMI! HUWEZI KUAMINI! UKINIONA UNANICHUKULIA POA, ILA NIMEFIKA HADI NAIROBI KWA KAZI HII HII?
( Seriously kweli! kufika Nairobi nalo ni jambo la kujisifu mbele ya kadamnasi ! )
Wengi wao wanaongea kuhusu laki nne kwa mwezi na utoto utoto kama huo..
BRAINWASHERS : Wakati wa shuhuda kuna jamaa huwa wanasimama na kuongea utoto mwingi like u know nilikuwa meneja wa T.R.A mkoa but nimeacha baada ya kuona GNLD inanilipa.. Mwingine akasema " Nilikuwa muhasibu BARICK, nalipwa MILIONI NNE kwa mwezi, ila nimeacha kazi baada ya kuona GNLD ndio mpango. Plus utoto utoto mwingine kama huo..
Mwisho wa siku i told her, please be serious even for a second, how dare you bring me to a place like this. What do u take me for? or what kind of a fool do u think i am? do u confuse me with a looser or something ? Do i look like someone who is joking about his life? U shall not tell me about this cra.p again...
Kiukweli niliona amenidhalilisha sana, i say..
These people, are realy dont know what is going on in their lives na wanahitaji kukombolewa. Kuwa describe hawa watu wa GNLD na FOREVER LIVING PRODUCTS in a single word, they are " LOOSERS".
Mimi hawajawai kunila pesa yangu ila wameshawai kunipotezea muda wangu zaidi ya mara tatu nikidhani naenda kwenye mkutano wa maana kumbe utaahira mtupu ndo umejaa kwenye hiyo mikutano...kwakweli inabidi wajipange sana
Mimi walinikokota mpaka New Arusha........nilitukana mpaka basi......ubaya hawakwambii unaenda kusikiliza forever living.....wanakuelezaeleza tu bla bla mpaka ufike ndio unagundua......
Mie wamenichosha na kuna baadhi wamenuna kisa nimegoma kujiunga nao....
Mie wamenichosha na kuna baadhi wamenuna kisa nimegoma kujiunga nao....
Hakuna jambo la kijinga kama kujifanya mjuaji wakati hujui. Hawa unaojaribu kuwapuuza inaonesha wana akili nyingi sana kukukuzidi. Wewe ndio inabidi ujipande na tangu sasa ujifunze kutumia ubongo wako kufikiri balada ya kuuweka kwenye museum ya kichwa.
Kama utataka kujua ni kwa nini, sababu ni hizi mbili:
1. Kwa mtu dynamic, hakuna unachopoteza kwa kusikiliza failures za mtu mwingine. Sana sana unapata kujua kufeli kwake na wewe unatumia makosa yake kuboresha hali yako
2. If you are that much smart to call them mataahira, wewe nikuiteje kwa ubwege ulionao wa kushindwa kubaini kuwa huu mwito wa kuhudhuria kikao niliopata leo ni wa wale mataahira. Au huwa wanakuchukua ukiwa umelala unaamka na kujikuta upo unahudhuria mkutano wa mataahira?
Wewe ndo walewale...hunilipi sikulipi so you better shut up ur dirty mouth...damn u
bora uuze chapati za alovera dear....