Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

Jana nimekutana na rafiki yangu mmoja akanieleza kuhusu kampuni moja ya forever living ambayo anavyosema ni biashara nzuri yenye mafanikio mtu akijiunga na kuwa mwanachama. Naamini humu wapo wanaojua biashara hiyo. Je inalipa au ni maneno tu?
 
Achana na forever living. Jiunge na trevo product. Wana product moja ambayo wanauza na rahisi kuuzika tofauti na foreve ambayo Ina products Nyingi na kuwachanganya customers. Trevo imemsaidia wengi niliowapa product hii. More details kuhusu trevo check www.trevocorporation.com/coach/Abella na simu 0767632212
 


You are not a good business person kwa staili hii ; Japo si mwanachama wa Forever wala Trevo ila ili kumvuta mteja si kumwambia achana na fulani ; Sell your products na mtu afanye informed decision. Ushasikia Cocacola wanatanganza achana na Pepsi kunywa Coca imewaburudisha wengi? No- wanatanganza uzuri wa bidhaa zao na kuonyesha ufanisi katika usambazaji kwa wauzaji. Redefine your strategies if you are playing to win
 
Ukitaka kuwa pilot mfate pilot akushauri ufanye nini ili nawe uwe pilot. Ukimfuata dereva wa bajaj au dereva taxi hautapata majibu sahihi. Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Nasikia hiyo biashara ya mtandao ni wizi mtupu. Eti huwezi pata faida kwa kuuza bidhaa?
 
Hata wale wenye akili wanadanganywa sana mtu anakuambia kuwa sijui fulani ndio Mtanzania pekee mwenye Jaguar
 
mleta mada huna jipya.unajifanya kama mambo Fulani kumbe kama maharage ya wapi..kuja kutaka kuwaharibia watu biashara,,kwanza ulilazimishwa..mi mwenyewe nimewai kujiunga na kusimama kwa sababu binafsi ila siwezi kuja kuponza kwani hakuna utapeli ukifuata mfumo wao ulivyo unapata.
NETWORK MARKETING NDO BIASHARA YA KARNE.We endelea na kuajiriwa tu au biashara binafsi utakuja kunikumbuka,na umemkashifu huyo dada kwa jili ulimpa lifi,ulizia akina ENOS CHILATO MAY GRACE LIGHTNESS na wengi wanavyoenjoy na unayoiponda.
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
 
What a man make for his living its non of my business (Don Corleone)

Nafikir waachwe waangalie fursa cha msingi ni kuweza kujikomboa na umasikini

Watanzania tumejawa na uongo+uoga+majungu+wivu na unafiki

Asante nimekuelewa, unafiki, woga na uzandiki na kutetemekea mabwanyenye ndo sifa ya wa tanzania wengi watoke huko
 

The true test of intelligent man is not what u do but what u do when u have nothing to do, asante kwa busara, nimekuelewa sana
 
Last edited by a moderator:
[


. Hapo kwenye dawa ya gout itabidi nikupm aisee


Ni kweli aisee siwezi kuzisemea vibaya kuna mtu aliniletea aisee zilimsaidia sana bibi yangu miguu joints na vidonda vya tumbo pia kuna product moja kuna mtu niliona kaungua anatumia kiukweli let them hustle kwasis ambao bado siwezi kuzikosoa
 
:biggrin1::biggrin1: ngoja ninkae kimyaa..
 
Jamaa alipeleka huko bumu mbona alijutaa
 
Niliambuliaga begi la gnld 2006 kutoka kwa workmate baada ya kuweka hizo biashara ndani bila kununuliwa alipoteza 500,000/sh.akaniuzia begi sh 3,000/ hata nauli ya kurudi nyumbani alikuwa anaikosa,usithubutu kujiunga na hawa Wezi wakubwa ni sawa na wale wanaowatembezesha vijana na tai kwenye joto la Dar wakiuza vyombo vya plastic eti mshahara laki 3 nnzhaa!!..GNLD,FLP,FOREVER LIVING,ORIFLAME=wizi
 
Mkuu nikupe ushauri wa bure! Acha ulimbukeni! Ukiamua kutumia kiswahili andika kiswahili na ukiamua kutumia kiingereza andika kiingereza. Hii changanya uliyofanya inaharibu ladha nzima ya ulichoandika na inaonyesha ulimbukeni wa hali ya juu!

Makavu bila mkopo, ila mbona kawaida tu
 
Ni kweli aisee siwezi kuzisemea vibaya kuna mtu aliniletea aisee zilimsaidia sana bibi yangu miguu joints na vidonda vya tumbo pia kuna product moja kuna mtu niliona kaungua anatumia kiukweli let them hustle kwasis ambao bado siwezi kuzikosoa

Jaribu Trevo sasa utashangaa kabisaaa yani afya ajabu, unafunguka kama Yesu ndio amekugusa tatizo ana kwa ana, ila ni virutubisho vya matunda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…