Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

Hapa inazungumzwa historia ya mambo na vijimambo vya zamani,

sio Malalamiko Mkuu!
Sahihi baba!!.
Kila kitu kina udadavuzi wa haki ya ki-Historia.
ni kuitendea haki historia!! ilikuwepo, ipo na itakuwepo nisheria vizazi na vizazi.

Bado ni mulemule tu. Yangekuwa malalamiko kamwe usingevumilia.
 
Hakika Mzee wa Msoga Mungu anamuona, hakuishia hapo. Hali ya Lowassa ni dhofu sana kwa sasa hasa na hatimaye Magufuli hatuko naye katika huu ulimwengu wa walio hai
 
Makini sana brother lakini unaonaje huyu jamaa kwa mwenendo wake angekuwa Rais wa nchi tungetarajia nini kiuchumi?
 
Nakumbuka alishawahi lalamika baada ya kinyang'anyiro cha kumpata Mgombea wa CCM mwaka 2005 kuisha, hakulalamika sana ila alitoa ya moyoni. Mimi nilimkubali sana huyu Dr. Salim Ahamed Salim. Mungu atamlipa kwa wale waliommaliza kisiasa kwa kumuita Hezbollah.

Baada ya Serikali ya yule wa awamu ya nne sikumuona akipata hata uteuzi, ila akina Mwandosya, Dr. Kigoda waliupata Uwaziri.
 
Hakika Mzee wa Msoga mungu anamuona ,hakuishia hapo ,hali ya Lowassa ni dhofu sana kwa sasa hasa na hatimaye Magufuli hatuko naye katika huu ulimwengu wa walio hai
Mfumo wa Ulinzi dhidi ya Makombora kule Msoga ni mkali sana …naambiwa 'ukirusha kombora' halitunguliwi bali linarudishwa lilipotoka kwa kasi zaidi

Huenda 'uranium' inayorutubisha vinu vya Nuclear kule Mwandiga kwa kina Zitto ndiyo hiyo hiyo inayochakatwa kule Msoga
 
Sio Hezbollah Ni hizbu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Walimnyong'onyeza sana, halafu eti aliwahi tamka kiana mwendazake anammaliza mzee wa niguse ninuke, kumbe wale wale tu
 
Seif hakuwa kwny orodha ya waliokuwa wakitajwa kutokea Znz,
Seif alikuwa akimkampenia Ally Hassan Mwinyi apate Urais wa Muungano ili yeye apate wa Znz,
Pamoja kiongozi
 
Taifa limekosa huduma ya Kichwa Muhimu sana.

Salim ni Kiongozi Mzuri sana Mwenye Maono makubwa na asiye na Makuu kabisa.
Huyu mwamba kama ingetokea angekuwa Rais now tungekuwa na katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…