Kila sehemu umekadhania neno hilo hilo kana kwamba umepumzika kufikiri na kukumbuka.
Mwalimu alisema ametuhumiwa kuteua wakristo wakatoliki, alipoangalia baraza lake akagundua wakatoliki ni yeye na George ambaye hata hivyo ukatoliki wake ulikuwa batili tayari.
Mwinyi kadhalika, ingawa huyu sasa alikuwa analeta watu kutoka Znz tu kwenye teuzi za bara, so hachomoki kwa hilo.
Mkapa, pia alituhumiwa hivyo, Dr Ali Juma akaja kuwasema waislam hadharani kwamba waache kulalamika, badala yake wakadhanie elimu dunia kama wanavyokadhania elimu ahera.
Kikwete, alipoanza, wakasema kuna harufu ya udini kubwa, hapa wali-refer baraza lake la kwanza, hata hivyo haikuwa issue sana kwakuwa jamaa sio mdini kiviiiile.
JPM, huyu ametuhumiwa kuwa mkabila zaidi ya udini.
Samia, huyu sasa tumuangalie kwa jicho la tatu, muelekeo wake wala hauna shaka na umeshajidhihirisha hata kabla ya siku 60 ofisini.