Mkuu,labda kama nyinyi christians mnasadiki hivyo kuwa dini ni utamaduni ulioletwa na wazungu na kwamba hauna direct connection na mungu wenu it's okay ni sawa,
Ila kwa upande wetu sisi,dini siyo tuh utamaduni,dini ni mfumo mzima wa maisha ambao unatuwezesha kuungana kiroho na muumba wetu kwa kufuata maamrisho yake yote na kuacha makatazo yake yote,bila hiyari...kwetu sisi it's a complete way of life,even though nakubali kwamba our messenger ni mwenye asili ya uarabu lakin hiyo haiwez kutuondoa kwenye mstar kwamba huo ni utamaduni tuh wa waarabu,coz wapo waarabu wengi pia ambao hawaukubali huu mfumo wa uislam na wanaufuata ukristo au iman zingine kabisa kabisa,so uislam siyo uarabu,Ila alieifikisha hii meseji ya uislam from god ni muarabu,please be informed kwa hilo