Kila sehemu umekadhania neno hilo hilo kana kwamba umepumzika kufikiri na kukumbuka.Mzee mwinyi kwenye kitabu chake kaandika kuwa kwa kuwa yeye Muislam eti walikuwa wanamtuhum kuwa alikuwa anateua viongoz kwa upendeleo wa kidini,kumbe wagalatia drama hizi za fitna za udini hawakuanza leo hawa jamaa
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 ha ha ha ha ha. Eti Kombora la Msoga. Hebu Muacheni Mheshimiwa JK ale ustaafu wake baada ya kufanya kazi nzito katika nchi hii.Mfumo wa Ulinzi dhidi ya Makombora kule Msoga ni mkali sana …naambiwa 'ukirusha kombora' halitunguliwi bali linarudishwa lilipotoka kwa kasi zaid
Mkuu umetoka kushindilia na kubughia msosi usiku kucha kama fisi mlafi. Itakuwaje njaa imekubamba asubuhi hii uanaanza kuleta porojo jamvini?
Kila sehemu umekadhania neno hilo hilo kana kwamba umepumzika kufikiri na kukumbuka.
Mwalimu alisema ametuhumiwa kuteua wakristo wakatoliki, alipoangalia baraza lake akagundua wakatoliki ni yeye na George ambaye hata hivyo ukatoliki wake ulikuwa batili tayari.
Mwinyi kadhalika, ingawa huyu sasa alikuwa analeta watu kutoka Znz tu kwenye teuzi za bara, so hachomoki kwa hilo.
Mkapa, pia alituhumiwa hivyo, Dr Ali Juma akaja kuwasema waislam hadharani kwamba waache kulalamika, badala yake wakadhanie elimu dunia kama wanavyokadhania elimu ahera.
Kikwete, alipoanza, wakasema kuna harufu ya udini kubwa, hapa wali-refer baraza lake la kwanza, hata hivyo haikuwa issue sana kwakuwa jamaa sio mdini kiviiiile.
JPM, huyu ametuhumiwa kuwa mkabila zaidi ya udini.
Samia, huyu sasa tumuangalie kwa jicho la tatu, muelekeo wake wala hauna shaka na umeshajidhihirisha hata kabla ya siku 60 ofisini.
Mfumo wa Ulinzi dhidi ya Makombora kule Msoga ni mkali sana …naambiwa 'ukirusha kombora' halitunguliwi bali linarudishwa lilipotoka kwa kasi zaid
Kawawa mbona nilisikia alikuwa tu ndio mzee kwa Nyerere alikuwa hawezi kupinga chochote atakachaoamua Nyerere. Aliyepinga hayo mambo ya operesheni vijiji alikuwa ni Kambona na ndio akapatwa na misukosukoKawawa ni next level
Nyerere aliandika kwny Kitabu chake kuwa Mungu kaumba watu wachache sana wa aina ya Kawawa
Alipochoka kukaa na Kawawa kama PM kwa muda mrefu anasema alimwita Kawawa Mwenyewe amsaidie kuchagua Waziri Mkuu mwingine, alimshauri amchague Sokoine na ndio ikawa chaguo bora zaid
Kawawa ndio alikuwa 'Taulo' la Nyerere, Lawama na mabaya yote akawa analaumiwa Yeye
Wazee wanakwambia 'Operation vijiji vya Ujamaa' ya 1972 aliipinga sana Kawawa ndani ya Cabinet, lakin Maamuzi yalipofanyika alisimamia maamuzi yale na lawama akazibeba, Ingekuwa hawa kina Hamisi Maboda boda angesema 'niliwaambia lakin wakaniona mjinga'
Kawawa ndio Waziri pekee alieanza na kumaliza na Nyerere miaka yote ya Utawala wake na ndio chaguo la Nyerere la kwanza 1985 hadi Kamati kuu sema Wajumbe Nyoko wapo kitambo sana
Kivipi mkuu, maana haukuwa wa ajabu sana na tofauti na mawaziri wengine, ama?Mahusiano ya Nyerere na Sokoine ni kama ilivyokuwa kwa Jakaya na Magufuli wakati Jk Rais na Magu Waziri
Ungeelewa maudhui ya andiko langu kwanza, usingekuja na tuhuma.Unaongea nini SASA?
Tunachokueleza sisi ni maneno wanavyosema jamaa zako wagalatia kuwa kila kiongoz Muislam akiwa MADARAKANI na akichagua mtu ambae ni Muislam anaitwa mdini na hao wagalatia,Ila akija kiongoz mkristo akafanya uteuzi wa upendeleo waz waz mnageuka,
Unaona sasa,unasema Magufuli akiteua kwa ukabila na siyo udini,unahamisha goli sasa,Magufuli katika baraza lake la mawazir Kulikuwa kuna mawazir 24, waislam walikuwa wanne tuh na hao 20 ni christians unasemaje hakuwa na udini, manaibu wazir walikuwa 16 na waislam wap wakijua sita unasemaje hakuwa na udini,hapo hujaenda KWA makatibu na manaibu katibu wakuu,so unataka kusema kwamba waislam hawana shule bado,?Hii hoja hamna pa kuchomokea
Salim alikuwa kijana Sana wakati anaanza siasa..
Kumbuka anaenda kuwa Balozi Misri ana miaka 18 Tu ndo akaenda kusoma huko huko..
Alipaswa kuandika historia yake..
Alikuwa anapigwa vita na wengi
Ungeelewa maudhui ya andiko langu kwanza, usingekuja na tuhuma.
"Walisema" ndio msingi wa andiko langu. Zaidi, nimelenga kukueleza kuwa hakuna rahisi aliyewahi kuwepo madarakani na asituhumiwe kwa udini kwa hapa kwetu, na kwa unayemchukia zaidi JPM, nimesema alituhumiwa zaidi kwa ukabila zaidi ya udini hata SUKUMA gang term ikazaliwa.

Hizi dini mnazogombania wenzenu walizileta ili mgombane vizuri hivyo wakiliona hili wao hufurahia zaidiUnaongea nini SASA?
Tunachokueleza sisi ni maneno wanavyosema jamaa zako wagalatia kuwa kila kiongoz Muislam akiwa MADARAKANI na akichagua mtu ambae ni Muislam anaitwa mdini na hao wagalatia,Ila akija kiongoz mkristo akafanya uteuzi wa upendeleo waz waz mnageuka,
Unaona sasa,unasema Magufuli akiteua kwa ukabila na siyo udini,unahamisha goli sasa,Magufuli katika baraza lake la mawazir Kulikuwa kuna mawazir 24, waislam walikuwa wanne tuh na hao 20 ni christians unasemaje hakuwa na udini, manaibu wazir walikuwa 16 na waislam wap wakijua sita unasemaje hakuwa na udini,hapo hujaenda KWA makatibu na manaibu katibu wakuu,so unataka kusema kwamba waislam hawana shule bado,?Hii hoja hamna pa kuchomokea
kawawa mbona nilisikia alikuwa tu ndio mzee kwa Nyerere alikuwa hawezi kupinga chochote atakachaoamua Nyerere. aliyepinga hayo mambo ya operesheni vijiji alikuwa ni Kambona na ndio akapatwa na misukosuko
Niliwah kumsikia mzee Abdul atik akisema Maalim Seif alikuwa ni miongoni wa vijana ambao Mwal.JK Nyerere akiwapenda sanaaaa na hata ktk mchakato wa kuwatoa CCM mwal.alizidiwa kura na walio wengi bac mwal. akaridhia Maalim Seif na wenzake watolewe CCMWanasema Nyerere aliwahi kuwapenda viongozi 2 tu ,Sokoine na Salim.mliokuwepo kipindi hicho tuambieni ukweli kuhusiana na hili.
Umeshinda aiseeHakuna kitu kama hivyo,
Magufuli pamoja na udini aliokuwa nao kwenye teuzi zake,uliskia waislam wakilalamika kuwa Magufuli ni mdini??
Pamoja na kwamba upendeleo wake ulikuwa wa waz waz,waislam hakuthubutu kusimama kwa jambo hilo,siyo kama tulikuwa hatulion,tuliliona Ila tukaona haina maana Tena,maana ni tatizo lililokuwa kama.sikio la kufa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kawawa ndio Waziri pekee alieanza na kumaliza na Nyerere miaka yote ya Utawala wake na ndio chaguo la Nyerere la kwanza 1985 hadi Kamati kuu sema Wajumbe Nyoko wapo kitambo sana
Waislamu Shule hawana.. wala sio swala la Kujadili. Allah AkbarUnaongea nini SASA?
Tunachokueleza sisi ni maneno wanavyosema jamaa zako wagalatia kuwa kila kiongoz Muislam akiwa MADARAKANI na akichagua mtu ambae ni Muislam anaitwa mdini na hao wagalatia,Ila akija kiongoz mkristo akafanya uteuzi wa upendeleo waz waz mnageuka,
Unaona sasa,unasema Magufuli akiteua kwa ukabila na siyo udini,unahamisha goli sasa,Magufuli katika baraza lake la mawazir Kulikuwa kuna mawazir 24, waislam walikuwa wanne tuh na hao 20 ni christians unasemaje hakuwa na udini, manaibu wazir walikuwa 16 na waislam wap wakijua sita unasemaje hakuwa na udini,hapo hujaenda KWA makatibu na manaibu katibu wakuu,so unataka kusema kwamba waislam hawana shule bado,?Hii hoja hamna pa kuchomokea
Kumbe Kawawa aliaminiwa hivi, sasa kwanini huwa mnalia na Nyerere mara Kanisa, mind zenu ziko covered na blanket, mengi ha matatizo mnayolilia hata nyie mkipewa nafasi huwa hamuyaondoi, mnayaacha hapo halafu mnakuja kuwalaumu wengine.Kawawa aliaminiwa zaidi na Nyerere
Na alikuwa tayari kubeba lawama zote za serikali Kwa niaba ya Nyerere
Usisahau Kawawa aliachiwa uwaziri mkuu
Kabla nchi haijawa Jamhuri na akaja kumrudishia Nyerere power..
Unbelievable in Africa