Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari muachia Kaisari.
 
Kosa lake ni kuwa alikau na Asili ya kiarabu.

Hii nchi Ubaguzi unatutesa sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nchi ngumu sana hii
 

Mkuu,labda kama nyinyi christians mnasadiki hivyo kuwa dini ni utamaduni ulioletwa na wazungu na kwamba hauna direct connection na mungu wenu it's okay ni sawa,

Ila kwa upande wetu sisi,dini siyo tuh utamaduni,dini ni mfumo mzima wa maisha ambao unatuwezesha kuungana kiroho na muumba wetu kwa kufuata maamrisho yake yote na kuacha makatazo yake yote,bila hiyari...kwetu sisi it's a complete way of life,even though nakubali kwamba our messenger ni mwenye asili ya uarabu lakin hiyo haiwez kutuondoa kwenye mstar kwamba huo ni utamaduni tuh wa waarabu,coz wapo waarabu wengi pia ambao hawaukubali huu mfumo wa uislam na wanaufuata ukristo au iman zingine kabisa kabisa,so uislam siyo uarabu,Ila alieifikisha hii meseji ya uislam from god ni muarabu,please be informed kwa hilo
 

[emoji23][emoji23]
 
Elimu sio kukaa darasani na kukariri vitabu. Elimu halisi ni ule uwezo wa kutumia vema akili na utashi tuliopewa na Mwenyezi Mungu!

Naomba niishie hapa maana tunajadili kuhusu Salim Ahmed Salim na si vinginevyo ambaye pamoja na Uislamu na "Uarabu" wake lakini tunaambiwa aliaminiwa sana Mwl. Nyerere.

Tujikite katika hili haya mengine ya dini yana jukwaa lake. Asante
 
Huu ndio umbea ulio enda shule,na vitu kama hivi ndio vina fanya watu waandike kuhusu wasifu wao ili kuondoa upotoshaji kama huu.
kitabu cha Mwinyi kinapatikana wapi kesho nidemke.
 
 

Asante...
 
Baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na makubaliano baina ya waasisi wa mapinduzi kuwa watu toka Pemba ( hasa we ye damu ya kiarabu ) wasipewe nafasi za kisiasa ila zile za kitaalamu tu na walilishana yamini katika kuhakikisha hilo halitokei.

Hivyo Salim alipokuwa aneteuliwa na mwalimu ili awe Rais wa muungano wale wahafidhina wa Unguja waliona hiyo itakuwa hatari kwa mustakabali wa mapinduzi ya zanzibar ( kumbuka yale mapinduzi yalifanywa na waunguja tupu). Kwa kuwa waliona peke yao hawawezi kumzuia mwalimu basi walitafuta msaada wa kina Mongella huku Tanganyika na pia Mwinyi alishawishiwa kuwa atakapopendekezwa agome kujitoa ilu kura zipigwe( mpango wa Nyerere ilikuwa Mwinyi apendekezwe pamoja na Salim kisha akatae na kujitoa ) hivyo baada ya majina kupendekezwa Mwinyi aligoma kujitoa ikabidi kura zipigwe; kwa kuwa Mongella alishamibilise wajumbe wengi toka Tanganyika wampigie kura Mwinyi na wale wa Unguja wote wakampigia Mwinyi hivyo akashinda. In short, mpango wa Nyerere ulibackfire.
 
Huu ndio umbea ulio enda shule,na vitu kama hivi ndio watu watu waandike kuhusu wasifu wao ili kuondoa upotoshaji kama huu.
kitabu cha Mwinyi kinapatikana wapikesho nidemke.
Sio umbea niliyoyasema 2017 yote kwa zaidi 85% yameelezwa pia katika kitabu cha Mzee Mwinyi.

Nenda pale Samora TPH nunua alafu ukisome ndio urejee kuita umbea.
 
Je Mwalimu alipomtaka SAS miaka ya 80 na akapita Mzee Mwinyi badala yake napo mkwere alihusika? Je genge hilo lililomkataa Dr. Salim 1985 lilishakufa? Chuki nyingi huondoa maarifa...
 
Wapo hapo sebuleni mkuu, tena wamerudi kwa kasi ya roketi.
 
Baada ya Jumbe kuondolewa mwalimu alitaka Maalimu Seif awe mrithi wa Jumbe lakini mwalimu alikuwa kabla ya kufanya jambo lolote lazima apate ushauri wq Thabiti Kombo wakati huo alikuwa amelazwa kcmc alipomfata na kumweleza alimkatalia akamwambia amchague Mwinyi kwa sababu alikuwa anamwamini akafata ushauri wake
 
Hapana kura zilipigwa kwenye halmashauri kuu mwinyi akashinda
 
Salim alikuwa kijana Sana wakati anaanza siasa..
Kumbuka anaenda kuwa Balozi Misri ana miaka 18 Tu ndo akaenda kusoma huko huko..

Alipaswa kuandika historia yake..
Alikuwa anapigwa vita na wengi
Nimeshangaa sana kati ya watu walioitangazq Tanzania kimataifa ninDr. Salim kama sio siasa za wakati ule Salim ndie angekuwa kqtibu mkuu wa UN kutoka Afrika
 
Nimeshangaa sana kati ya watu walioitangazq Tanzania kimataifa ninDr. Salim kama sio siasa za wakati ule Salim ndie angekuwa kqtibu mkuu wa UN kutoka Afrika

Siasa za dunia ngumu sana
Salim alikuwa awe Katibu Mkuu wa UN..
Shida ilikuwa USA...wao USA wanadai 'ali celebrate 'China kupewa permanent membership..
Lakini deep down nafikiri middle East politics zili play...
Angekuwa first Muslim UN secretary..
Hata Boutros Ghali alikuwa first Arab but cristian...

Siasa za middle East zina nguvu sana
Kuna madai Yule katibu wa UN aliekufa Kwa ajali huko Congo kuna 'foul play'ilifanyika
 
Kawawa funika kikombe....[emoji16]
Kawawa aliaminiwa zaidi na Nyerere
Na alikuwa tayari kubeba lawama zote za serikali Kwa niaba ya Nyerere
Usisahau Kawawa aliachiwa uwaziri mkuu
Kabla nchi haijawa Jamhuri na akaja kumrudishia Nyerere power..
Unbelievable in Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…