Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

M sina uvumilivu huo huwa ukinichemsha nakuwa na hasira za karibu
Hahaahah tena mwezi wa mfungo kwa baadi ya biashara huwa mgumu alafu mteja anakuja kujutemea nyongo.... yaani kama sio maokoto yanahusika yabidi uwe humble ....wateja wengine wanadharau sana
 
Huo mstari wa mwisho unamwambia mteja??
Eee haki ya nani mimi naogopa
 
Tafuta mtu wa kuaminika kama ni mizigo midogo tafuta boda wa karibu na unapofanyia kazi, gharama za delivery mwambie ni juu yake. Akitaka kujua gharama wewe mpe boda tu wakubaliane nae.

Kingine ni kuwa kama ni uber au bolt mteja anatuma location ya alipo alafu wewe ukifungua link itakuuliza unafungulia wapi? Chagua moja ya hizo app "kumbuka usiweke default ili iwe inakuuliza wakati wote" itakuletea gharama na umwambie mteja gharama yako ya usafiri ni hii.

Hapo unamwita bolt unampa hiyo location na namba ya mteja anampelekea mzigo wake.

Hii itasaidia maana kupitia kampuni hizi gharama inakuwa chini kuliko kukubaliana kwa simu
 
Na wateja ndio maana nao wanakuwa vichomi maana wanajua wanachekechwa.
Mi sichekechi mteja na sipo k.koo recently nilikua najib coment hiyo
Aina ya baishara yangu kila kitu kina price tag.nina pages za mauzo huko social media
Wengi wanaoeka order anqjua kabisa naenda kununua chupa ya maji bei 3000/= no more no less
Kwa wateja wa pis nyingi tuna discount haswa wanaoenda kuuza
 
Dada yangu simu yako halafu unakubali kugombezwa? Batani ya kukata ilikua haufanyi kazi kwani?
 
Ukijua Customer's care kamwe hauwezi kugombana na mteja hata aje amefura kama Mbogo.

-Ukijua kwamba Customer ni Boss wako na sheria number Uno inasema Boss hakosei(Boss is always right) -Boss hanuniwi utaenda nae vizuri tu hadi mwenyewe atakaa sawa.....Mteja akija amewaka na wewe ukamjibu vizuri kwa upole huku ukimsikiliza unadhani ataendelea kufura?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kugombana na mteja direct ila kimoyoni nakua nisha mcurse sana
 
Nakubaliaba na wewe ila trusm me kuna ile batani mteja siku ataigusa unaona kabisa this is no longer a boss_customer thing
Anyways am learning everyday
 
Nakubaliaba na wewe ila trusm me kuna ile batani mteja siku ataigusa unaona kabisa this is no longer a boss_customer thing
Anyways am learning everyday
Inabidi uende nao sawa hivyo hivyo ,kuna wateja kweli vichomi sana inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kuendelea na convo nae.
 
Mbona kitu rahisi tu? Unaongeza bei kujumlisha na delivery. Achague mwenyewe. FOB vs C&F
 
Na je, ungekuwa customer care wa TANESCO..?
Niliwahi fanya miaka flani, mbaya zaidi hiyo wilaya ilikuwa ina changamoto kubwa mno ya umeme..

Kwa matusi na hekaheka nilizokula, sijui nini kitanishtua tena..!![emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii
 
Nakuelewa boss
Nina boda wa kazi ya delivery pia mteja aki opt bolt narequest analipia kwanza.
The thing is FREE DELIVERY
yaan mteja hakupenda huduma ya kulipia nauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…