Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Mnawahudumiaje Wateja wakorofi?

Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.

Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
Nina mteja wa Jumla nimemremove kwenye group zote
Nimempa tu na ukweli nikamwambia be humble, kununua mzigo kwangu isiwe sababu ya wewe kunigeuza dampo la maneno machafu.. juzi nimeona text yake nimuadd kwenye group ila bado sijaisoma.
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Do not internalize what these motherfvckers say!

Msikilize kama redio,kinaingilia hapa kinatokea kule....ukiwa una absorb kila negativity wanayoisema,u will die with anxiety!

Usiingize moyoni kabisa....just see them like funny movie characters,interesting and amusing
 
Nina mteja wa Jumla nimemremove kwenye group zote
Nimempa tu na ukweli nikamwambia be humble, kununua mzigo kwangu isiwe sababu ya wewe kunigeuza dampo la maneno machafu.. juzi nimeona text yake nimuadd kwenye group ila bado sijaisoma.
Kuna watu ni wapuuzi anaona akitoa pesa ana uhuru wa kuongea chochote
 
Dada Hornet mimi nitakubali kufokewa pale nimekosea ila sio mtu anifokee kosa anahitaji nimhudumie katika huduma nisizokuwa nazo eti nimnyenyekee hapana jamani, tutashikana mashati hata humo kwenye simu .
 
Tafuta mtu wa kuaminika kama ni mizigo midogo tafuta boda wa karibu na unapofanyia kazi, gharama za delivery mwambie ni juu yake. Akitaka kujua gharama wewe mpe boda tu wakubaliane nae.

Kingine ni kuwa kama ni uber au bolt mteja anatuma location ya alipo alafu wewe ukifungua link itakuuliza unafungulia wapi? Chagua moja ya hizo app "kumbuka usiweke default ili iwe inakuuliza wakati wote" itakuletea gharama na umwambie mteja gharama yako ya usafiri ni hii.

Hapo unamwita bolt unampa hiyo location na namba ya mteja anampelekea mzigo wake.

Hii itasaidia maana kupitia kampuni hizi gharama inakuwa chini kuliko kukubaliana kwa simu
Wateja wengi hawakubali kulipia before delivery
Kutumia bolt ni risk zaidi

Bora awe na boda wawili waaminifu
Dada Hornet mimi nitakubali kufokewa pale nimekosea ila sio mtu anifokee kosa anahitaji nimhudumie katika huduma nisizokuwa nazo eti nimnyenyekee hapana jamani, tutashikana mashati hata humo kwenye simu .
Unaachana nae tu for good anaweza kujishtukia akaja kuwa mteja mzuri tu.
 
Wateja wengi hawakubali kulipia before delivery
Kutumia bolt ni risk zaidi

Bora awe na boda wawili waaminifu

Unaachana nae tu for good anaweza kujishtukia akaja kuwa mteja mzuri tu.
Kinachouma kuna muda unampata mteja ambaye anakuja kwako anahitaji pia umheshimu pia kulingana na kazi aliyonayo asijue yawezekana na wewe una kazi tena zaidi ya aliyokuwa nayo ila ufinyu wa mshahara umekufikisha hapo na wewe kwenye kuongeza kipato ni hapo ataanza kukuendesha anavyotaka huku akijipigisha simu za kazini kwake mara atoe order mara vile asijue wewe pia una kazi mbali na biashara na unamzidi mbali tu .
Basi mimi kuvunja mzizi wa fitina najikuta nisharopoka tufanye biashara kwanza na mimi nimetoka kazini pia .
Ila bolt/uber ni risk sana na kinachoboa hawako tayari kuchangia nauli wengine wao maana wanafosi ufanye delivery ilihali huduma hiyo huna na ukoamua kufanya basi unahitaji mshirikishane kwenye gharama ila yanakuwa mabishi mabishi mpaka kero.
 
Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery

Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,

Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.

Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,

Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order

Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Unamuitikia ..."ndiyo biss,nimekusikia.Tutafanya kwa kadiri ya uwezo wetu uliyaelekeza.Ndiyo,ndiyo mkuu.Nakupata vema muheshimiwa.Haina mbaya mkuu wangu.Asante kwa kutoa muongozo na maelekezo mkuu.Asante sana mkuu"...!
 
Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.

Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
Acha jeuri yako dugu yangu veve!Naitaji zigo ya sling milioni bili feza taslim tapata.
 
Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.

Wateja wengi wa Tanzania wanaona Kama biashara ni mali yao na huduma ni haki yao bila kujali vigezo, masharti na haki za mtoa huduma pia.

Wengi bado wanatembea kwenye mstari wa “mteja ni mfalme kiasi wanapitiliza na wengine kuvuka mipaka pakubwa.

Wengi hawaheshimu biashara za wenzao Kisa tu yeye ni mteja anahisi anaimiliki dunia na wewe ukiwemo unapokua unamhudumia.
 
Pole ni kawaida kwenye harakati za kutafuta wateja ni kama watoto waelewe hivyo hutosumbuka na ili umteka vyema usimjibu vibaya furahi ama cheka kuna kipindi yeye mwenyewe atajirudi na atakuwa mteja wako wa nguvu na rafiki.
Hii ni biashara gani? Ya Ice Cream ama pipi?
 
Kama hiyo biashara ni ya kwako, ajiri mtu wa kuhandle wateja! Customer relationships/Customer care/Customer support, n.k ni taaluma!

Ustaarabu pia kwenye biashara za watu ni kipaji/karama au ni Ubinaadam?

Binaadam wote wana haki Sawa ya kuheshimiwa na kuthaminiwa kwa kiasi na kipimo kile kile cha mtenda akitendwa.
 
Kuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia.

It’s a Liberal world, tatizo liko wapi?

Tumeukubali ubepari, hauishii kwenye Siasa na Dini tu, ni mpaka kwa mtu mmoja mmoja.

Wote tutapata tunachostahili na sio tunachotaka tu.
 
Ukijua Customer's care kamwe hauwezi kugombana na mteja hata aje amefura kama Mbogo.

-Ukijua kwamba Customer ni Boss wako na sheria number Uno inasema Boss hakosei(Boss is always right) -Boss hanuniwi utaenda nae vizuri tu hadi mwenyewe atakaa sawa.....Mteja akija amewaka na wewe ukamjibu vizuri kwa upole huku ukimsikiliza unadhani ataendelea kufura?
Hii sheria nahisi ina apply huku umatumbini tu kwa wabantu “coco.

Unaitambua tag inasema “management has a right to no admission au “management has a right to withhold any services?

Kama ilivyo sheria ni msumeno, na Haki pia ina pande mbili, haki ya mtendwa na mtendaji. Zote ni muhimu kwa kila upande.

Tujifunze kuheshimu biashara za watu.
 
Back
Top Bottom