Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Usikute huyu hata hayo matunda hali bali anauzia wengine. Namfananisha na mdogo wangu, yeye kila akihamasishwa kula matunda anasema yeye si ndege.
 
ni mtazamo, kukaa karibu na jengo la ibada sio kuokoka
 
Sasa Mbona Hajanenepa Na Hajakaa Kiafya Afya? au Yeye Matunda Hayo Hayatumii Bali Anatuimarishia Tu Sisi Afya Zetu?

l.t.c. Pole sana, nan amekudanganya kuwa unene ndio afya? Wabongo bhana
 
Sasa Mbona Hajanenepa Na Hajakaa Kiafya Afya? au Yeye Matunda Hayo Hayatumii Bali Anatuimarishia Tu Sisi Afya Zetu?

Mkuu samahani hivi bado una amini kunenepa ndio afya? kukaa kiafya afya ndio mtu anakuaje?
 
Back
Top Bottom