Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Sasa Mbona Hajanenepa Na Hajakaa Kiafya Afya? au Yeye Matunda Hayo Hayatumii Bali Anatuimarishia Tu Sisi Afya Zetu?

Tangu lini matunda yakanenepesha!? Umeshawahi ona vegan mnene!?
 
Hayo matunda nnavyopenda kula apo ntaomba na mkeka nkae kitako na miguu ninyooshe huku nashushia na chungwa lol nataniaaaaa
 
Nakumbuka Chesco Mzee wa matunda, kipindi hiko East Africa Fm watangazaji wakina MACKEY na FARIDAH,, sijui wako wapi???
 
Back
Top Bottom