Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Na mwingine wa Arusha jina limenitoka but a.k.a Bendela ya Chuma
 
Kutuma salamu zamani kwa sas ndo kama vile instagram, mara bikira wa kisukuma, malkia wa insta n.k...ni nyakati 2.
 
images.jpg
 
kazi ni kazi na anajivunia na kazi yake....hongera chesco
 
Back
Top Bottom