Frank M Clement
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 182
- 58
inasaidia nin hii kwa jamii??
sio lazima uchangie
inasaidia nin hii kwa jamii??
mwil obare..... toka igoma maeneo ya watu wazito!!! alisumbua sana redio zetu henzi hzo hasa rfa!!!! ukiskia tu, naaaaaaaaaaaaam... unajua ni nan
kuna mama mmoja alikuwa anapiga simu toka katubuka kigoma nani ajamkumbuka wadau?
inasaidia nin hii kwa jamii??
Tunajisahaulisha shida japo kwa muda mchache, hutaki unaacha.
Kuna jamaa kutoka Babati alikuwa maarufu kwa kutuma salamu karibu redio zote za Kiswahili Afrika mashariki - nimemsahau jina - hii ni kwenye mwishoni 70s na mwanzo 80s
Kuna mmoja alikua anatokea "Vingunguti Kiembe Mbuziiiiiiiiiiiiii...." Jina limenitoka kidogo