NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
Hapa full maruweruwe!
Tupo kundi moja nini mkuu?
mimi sijui hata ulikuwa mwaka gani huo?
Hapa full maruweruwe!
Hao unaowasema ni vijana wa dot com,mleta Uzi anawatafuta wale wa analogia kama vile wakina Mbago Mohamed Mbago na kina Issa Hasan Majeshi a.k.a kamanda wa salamu.
Upo?
Bila kuwasahau, Kondo Ali Kondo, Hamisi Masoud Kapama wa Tabora!