Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Jb ngilisho, wa chunya mbeya siku hizi ni bongo movie actor.
 
Na Bingwa wa mtandao kanda ya kati Osama na Mamaa Pendo a.ka Mama Africa wa Karatu Sokoni(DW)
 
Rtd ingeendelea kubaki redio ya serikali kama inavyotakiwa nadhani isngekuwa na mpinzani,ccm wameiuwa
 
Back
Top Bottom