Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 305
Mmemsahau aunty Classsic wa Classic Saloon Sinza..( salam za Radio One)
Kwenu dodoma nini?
Mmemsahau aunty Classsic wa Classic Saloon Sinza..( salam za Radio One)
manase ala muhaha, tehetehetehe...
Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
"Kilio hiki kiwafikie Emmakulaya,Manka Mushi,Chesco Mzee wa Matunda na John Zenze"--Muhumini Mwin Juma.
John Zenze, yule wa komakoma nukta nukta pale Mwananyamala!
ukimtaja wajadi fundi. wajadi tunamwit bina adam mashaka
hao kina Chesco ni kizazi cha Dot com !
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya
1.Issa Hasssan Madjeshi
2.Chidi Chidi Chitenda
3.Chivalavala wa Chivalavala
4.Limonga Justin Limonga
5.Duwa Wajadi
6.Wajadi Fundi
7.Mohammed Kassim Saibaba
8.Jai Sikinde
9.Maalim Shabani Uledi
10.Boko Man Mwana wa Mkongoman
Kulikuwa na "mabingwa wa salamu" ambao walikuwa hawakosekani aidha kutuma salamu au kutumiwa salamu kwenye vipindi mbalimbali vya radio. Unayakumbuka majina yao?
Limonga justine limonga
"Mateso Majonzi Huzuni Kilioooo cha yatimaaaaa,Kilio hiki kiwafikieee Manka Mushi Imma Kulaya Chesco Mzee wa matunda na John zenzee"---Mumini mwin juma.