Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 118
Akina zakaria ndenfoo.....
Af kuna wa juzi kati hapa Bendera chuma mlingoti chuma....
Af kuna wa juzi kati hapa Bendera chuma mlingoti chuma....
Akina zakaria ndenfoo.....
Af kuna wa juzi kati hapa Bendera chuma mlingoti chuma....
hapo juzi kati kulikuwa kuna watu mbwembwe sana kipindi cha clouds kile afrika baambatah....kuna wazee wa niaambbbbbbbbbbbrrrrrrieeeeeee!!!kiembe mbuuuuuuuziiii......mzee wa komakoma nuktanukta!
hahahaha,ndo wewe kweli ChescoMatunda ?
Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
John Nzeze
Huyu ni ndugu na Mkaudi Tingisha ama ndio yule yule!?Jumanne Sebarua Tingishaaaa
Usimwache Papaa Osama kanda ya kati Dodoma.Pia ni dhambi kubwa kumsahau Ima kulaya na ndugu yakeUna umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
Kuna jamaa alikuwa analivurumusha maeneo ya Arusha Kijenge Mwanama na mwingine pale Moshi Majengo (alikuwa anafanya kazi posta) Majina yao yamenitokaWAdau Nipo mzima wa afya njema tuu tuwaailiane tuu hata hapa jamiiforums ChescoMatunda
Kuna jamaa alikuwa analivurumusha maeneo ya Arusha Kijenge Mwanama na mwingine pale Moshi Majengo (alikuwa anafanya kazi posta) Majina yao yamenitoka