wamefilisiwa na wanamuziki wa congo kwa kuwalewesha misifa!
wapo wapi hawa watu jamani,walitamba sana kunako anga za burudani kupitia miziki ya Dansi kwa kutajwa sana,na pia hata kwenye salam za radioni wakati huo walitisha sana..
wapo wadi siku hizi???
Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
mabingwa wa salam hao,wala haihitaji mvi kichwani kuwajua,ongezea na hawa,
Chivalavala M Chivalavala
Manka Mushi
manyota top manyota
msangi hamis
Hussen Makabureta
Chidi Chidi Chitenda
Zakaria Ndemfoo wa babati
mabingwa wa salam hao,wala haihitaji mvi kichwani kuwajua,ongezea na hawa,
Chivalavala M Chivalavala
Manka Mushi
manyota top manyota
msangi hamis
Hussen Makabureta
Chidi Chidi Chitenda
Zakaria Ndemfoo wa babati
Hao akina Manka Mushi na Hussein Makabuleta wamekuja kipindi hiki cha salam kwa njia ya simu...
Mi nazungumzia enzi zileee za post kadi kipindi cha Jambo, Mchana Mwema, Salam za mchana, Shambani, na pole kwa kazi...
mzee wa tandahimba huyu anapatikana huko kwa sasa na kila siku anasikika pride redio ya huko mtwara
muira obaaaare naaaaaaaaaaaaaaam naaaaaaaaaaaaaaaam...moja kwa moja unazungumza na mhra obare kutoka igomaaaa maeneo ya watu wazitooooo kutoka jijini mwaaaanza
Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
Zamani kila vipindi
vya salam kwa njia ya simu redioni majina haya yalikua maarufu sana.
Charles imalaya kama simba, kung'ombe chacha sukari muhilo obaré, basu
basanga basu,baba dula one, chesco mzee wa matunda, imma kulaya, suzy
ngodoki, manka mushi, jumane sebarua tingisha. Dah siku hizi majina haya
yamefunikwa sana r
edion.