Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 68
Manase Muhaha, huyu alikua anapatikana malapa inn,buguruni nae pia simsikii
Anajiita mzee wa matunda ilhali ukienda na tsh 10000 unafunga genge,wapo mwingine alikua anajiita Abuu millionare,Mohamed kiyaiyai wote walikua vinyoz wa salon,majina makubwa kuliko wenyewe
Manka Mushi,
Mr UD toka Temeke Liganga Streeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeettttttttttttt...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani siku hizi mnasikilizaga vipindi vya salamu? Bado wanapatikana TBC radio ila Manka Mushi hatunaye. Sura mbili kyongo Momanyi, baba dulla one, ila hobby zao ni kiboko
Wajad Fundi Wajad, Mpate Shaweji
Jumanne Sebarua Tingisha...
Kuna mwngne wa kule makongorosi Mbeya. Jina nimemsahau
Kuna mwngne wa kule makongorosi Mbeya. Jina nimemsahau
Jumanne Sebarua Tingisha...