Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Lawena Nsonda wa Makongorosi Chunya
haha. Ndo huyo huyo. Yupo upande gan huyo jamaa?
Lawena Nsonda wa Makongorosi Chunya
Mwiru Obale, Nnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaam
Hahaha huyo jamaa alikua maarufu sana Kanda ya Ziwa
Halafu kulikuwa na Sita wa Sita pia.
haha. Ndo huyo huyo. Yupo upande gan huyo jamaa?
Chivalavala M Chivalavala
Manka Mushi
Bokoman mwana wa mkongomani
Hussen Makabureta
Chidi Chidi Chitenda
Zakaria Ndemfoo wa babati
Huyo SURA MBILI BADO YUPO HAPA BENKI YA POSTA MITUNGI KWA SANA. EXAUD NKO NENDA MKWEPU UTAMPATA ndo jina lake
Chivalavala M Chivalavala
Manka Mushi
Bokoman mwana wa mkongomani
Hussen Makabureta
Chidi Chidi Chitenda
Zakaria Ndemfoo wa babati
Pia kulikua na Mudi Kiyaiyai mzee wa nyambriiiiiiiieeeeeeeeeeee.
Huyu jamaa mara kibao alikua anamtibua Misanya Bingi enzi za Kipusa cha Radio One.
Abubakari sadik kwa fujo, ivi bado a.atumia hili jina au amekua sasa!
Kaisi musa Kaisi
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kuna mmoja alikuwa anapiga simu kutoka mwanayamala komakoma....akiitaja sasa utasikia anasema toka komakoma selasela mwananyamaza....
na mwingine wa mtoni mtogani kwa mwanamkorombota....
Chivalavala M Chivalavala
Manka Mushi
Bokoman mwana wa mkongomani
Hussen Makabureta
Chidi Chidi Chitenda
Zakaria Ndemfoo wa babati
Huyu Zakaria Ndemfoo alikuwa balaa ukienda BBC utamsikia ukirud DW yupo, sauti ya Amerika yupo,radio one yupo, Radio Tanzania yupo,yaan sijui wapi alibakiza!
yaaani huyu aliitangaza sana Mwananyamala KOMAKOMA hadi ikawa maarufu sababu yake jamaaa
Hahahaha..aseee,old is gold