Rock City
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,266
- 505
Huyo Manka Mushi baada ya kuwa mmoja kati ya washindi 3 wa miss Mwanza, ndo ikawa mwanzo/mwisho wa salaam hizo kwa njia ya simu.
Alikuwepo Limonga Justine Limonga, kipindi hicho alikuwa Tanga ila sasa yu Dar akiitangazia redio ya Chama pale mitaa ya Lumumba (kwenye jengo lao la ndani kidogo).
Somo umenikumbusha mbali sana na hii thread Rockcity native

Last edited by a moderator: