Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

da kweli analojia imetutoa mbali, nashukuru Mungu sasa tuko dijitali.
 
Mbona mna msahau Hussein makabyureta? Bongo Experience? Salum chum? Wa sasa kina bishagazi,ugali sokwe na prosper wa moshi stand.
 
hawa kilongo
Zamani kila vipindi vya salam kwa njia ya simu redioni majina haya yalikua maarufu sana. Charles imalaya kama simba, kung'ombe chacha sukari muhilo obaré, basu basanga basu,baba dula one, chesco mzee wa matunda, imma kulaya, suzy ngodoki, manka mushi, jumane sebarua tingisha. Dah siku hizi majina haya yamefunikwa sana redion.
 
Zacharia nde Mfoo na Godifrey Isomba Samaki
 
Zamani kila vipindi vya salam kwa njia ya simu redioni majina haya yalikua maarufu sana. Charles imalaya kama simba, kung'ombe chacha sukari muhilo obaré, basu basanga basu,baba dula one, chesco mzee wa matunda, imma kulaya, suzy ngodoki, manka mushi, jumane sebarua tingisha. Dah siku hizi majina haya yamefunikwa sana redion.
Nakumbuka Emma Kulaya alikua akipiga simu lazima aseme ""nambiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeee"" hiyo nambie aliivuta kama dakika mbili hivi....alikua never miss kwenye kutuma salam radion.
 
Zamani kila vipindi vya salam kwa njia ya simu redioni majina haya yalikua maarufu sana. Charles imalaya kama simba, kung'ombe chacha sukari muhilo obaré, basu basanga basu,baba dula one, chesco mzee wa matunda, imma kulaya, suzy ngodoki, manka mushi, jumane sebarua tingisha. Dah siku hizi majina haya yamefunikwa sana redion.
Wewe ulikuwa wapi wakati tunajadili hawa watu jarubu uwe unaperuzi post za zamani upate majibu ya maswali yako
By Kwame Nkrumah

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/199140-watuma-salamu-rtd-3.html
 
Last edited by a moderator:
Wote mliowataja nimeshawasikia,lakini yote tisa kumi mmemsahau mtuma salamu maarufu sana wa Radio free Afica akijiita Kun`gombe Chacha Werema Sukari Muhiri Obhare na ukipenda unaweza kumuita Muhiri Obhare,muite sasa jina hilo usikie vituko vyake ataitikia dakika nzima Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam

ktk watuma salamu ninaowakumbuka sana wa kipindi hicho muhiri obhare ndio funga kazi.
 
Muhili OBARE (Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam....!!!)

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha huyu jamaa alikuwa ananiacha hoi na hiyo style yake hasa hasa pale RFA cjui kama bado anaendeleza maana mara ya mwisho kusikiliza RFA ni kitambo sana
 
na jamaa mwingine kama cjakosea alikuwa anajiita mponeja wa mponeja he he he he he
 
Back
Top Bottom