Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Wote mliowataja nimeshawasikia,lakini yote tisa kumi mmemsahau mtuma salamu maarufu sana wa Radio free Afica akijiita Kun`gombe Chacha Werema Sukari Muhiri Obhare na ukipenda unaweza kumuita Muhiri Obhare,muite sasa jina hilo usikie vituko vyake ataitikia dakika nzima Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
 
patrick kruveit na chesco wa matunda wote radio one enzi hzo mtangazaji amina mollel
 
Ha ha ha ha!!
Eti walikua wananunu "Postcard" kama moja tu then wanamtafuta mtangazaji wa salaam na kumshikisha kitu kidogo.
Kinachofuata huyo mtangazaji atakua anarudia kuisoma Postcard hiyohiyo kila siku!!!

Ha ha ha ha ,nimeipenda sana hii
 
Tujikumbushie watuma salamu na watumiwa salamu maarufu ktk Radio mbali mabali.
1.Baba Dura one wa Tanga
2.Chesco mzee wa Matunda
3. ...........
4. ..........
 
Tujikumbushie watuma salamu na watumiwa salamu maarufu ktk Radio mbali mabali.
1.Baba Dura one wa Tanga
2.Chesco mzee wa Matunda
3. ...........
4. ..........
Isa hassan Majeshi huyu nadhani alikuwa wa mtwara,
Musa hassan Songalele wa lizaboni Songea,
 
Haha inaonyesha wengi tulikuwa tunasikiliza Radio One...
 
Jumanne sebarua Tingisha
Mwiro Obare
(RFA)
Sio watuma salamu wa siku hizi sijui mtoto wa vitoto hamna kitu
 
RIP Baba Dulla One!
Ima Kulaya sijui yupo wapi,wapi Bongo xperience?
Mwananyamala Selasela Nucta Nucta Niambieeeeeeeeeeeeeeee!
 
Zacharia Ndemfoo wa Lake Babati

Nakumbuka sana Zacharia Ndemfoo alikuwa anatuma sana salamu kupitia Radio RSA (radio ya afrika kusini) iliyokuwa inatangaza kwa kiswahili.
Bingwa mwingine aliyekuwa anatuma sana salamu huko ni Mtinda S. Mtinda.
 
Mr UD kutoka temeke liganga streeeeeeeeeeeeeeeeeeeet

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Suzy Ngodoki - Ng'wanza; Frenk Manko Ngoko - Taarime; na mimi Mtalaam wa kulima ming'oko - Ntwara.
 
shangazi wa kitope znz
steven mahumi
shida kilangiro mzee wa vilonga longa
mzee mahumba
baba ubaya
 
Back
Top Bottom