Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

Hao wote mnawataja waliwika zaidi kipindi cha Radio One pamoja na kina
Baba Dula One,
Baba Dula Original,
Limonga J. Limonga,
N.k.
Watu walikua wanapewa nafasi ya kusalimia watu watatu,
But mtu anasalimia mpaka watu kumi kwa ile nafasi ndogo tu aliyopewa!!!

kweli aisee,unamkumbuka mohamed kiyayiyayi wa komakoma mwananyamala.kila siku alikuwa na style mpya.
 
wengi wao wanatoka Newala na Masasi , enzi hizo hamna simu, inaonekana walikua wanatumia sana hela kwa ajili ya stamps.
 
wengi wao wanatoka Newala na Masasi , enzi hizo hamna simu, inaonekana walikua wanatumia sana hela kwa ajili ya stamps.

Ha ha ha ha!!
Eti walikua wananunu "Postcard" kama moja tu then wanamtafuta mtangazaji wa salaam na kumshikisha kitu kidogo.
Kinachofuata huyo mtangazaji atakua anarudia kuisoma Postcard hiyohiyo kila siku!!!
 
Hao wote mnawataja waliwika zaidi kipindi cha Radio One pamoja na kina
Baba Dula One,
Baba Dula Original,
Limonga J. Limonga,
N.k.
Watu walikua wanapewa nafasi ya kusalimia watu watatu,
But mtu anasalimia mpaka watu kumi kwa ile nafasi ndogo tu aliyopewa!!!

kweny hiyo list ya radio one umesahahu muuza matunda wa sinza yule.. nimesahau jina lake...


 
Abdallah mpanjinji,mubosi frank malecela,david bekham onana,suzi ngodoki,ng'onde juma ng'onde,kojombo kicheleli,
 
Mkuu kuna thread kama hii ilianzishwa imo humu, Na watu walitoa michango mingi juu ya hawa watuma salamu.........

Unawakumbuka watuma salamu wa zamani RTD kipindi cha salamu? Kuna jamaa mmoja namkumbuka Chidi Chidi Chitanda alikua hakosekani kipindi cha saa sita mchana. Taja wengine.
 
mtoto wa vitoto

au ndo wewe nin?uyu wala c wa RTD..Uyu n mtoto sana kazaliwa miaka ya 90's...muuza sura tu,hana jeur ya wakongwe wa MW na SW..Uyu ni FM generatn..tena ile WAFU FM ya kina Kibonde,hana jeur ya kuwepo RTD enz hzo
 
Kulikuwa pia na Thomas Mushi Kimboka wa hospitali ya kaloleni Arusha. Huyu alishakuwa bingwa wa salamu kanda ya kaskazini.

Nimemkumbuka Ima kulaya, ekangai kulaya na isaya kulaya. Hawa walikuwa ni wa enzi za redio one! Waliimbwa sana kwenye miziki ya dansi
 
Zacharia ndemfoo wa babati au karatu km sikosei
 
Daudi Omary Makuka


Kuna mmoja alikuwa Motel Agip mtumaji sana jina nimelisahau
 
Walikuwa wakijiita Mabingwa wa Salamu miaka hiyo ya 70 na 80 na sijui waliishia wapi

Nawakumbuka- Zakaria Ndemfoo wa Lake Babati salamu Club, Rashidi Nguruwe wa Sokoni Korogwe, Ezekiel Greyson Mbaga wa Namanga Border Control(maarufu kwa salamu za mpira wa Simba na Yanga), na wengineo.
 
Back
Top Bottom